Ninayetaka kumuoa kumbe ni mpenzi wa rafiki yangu

Lavan Island

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
2,377
2,048
Nimegundua mwanamke Ninayetaka kumuoa ni mpenziwa rafiki yangu na hawajaachana bado, tayari nimeshatoa mahari,na taratibu zote za kuoa zinaendelea sasa nifanyeje?
 
Teh teh teh....this sounds kinda like one of those 'your wife is my girlfriend' type of situations.

But on the real though, if your fiancee has a paramour, you really want to tell us you don't know what to do?

Have you no testicular fortitude?
 
Mleta mada tafadhali naomba ukuje hapa kujibu haya maswali ya mkuu Nyani
 
Vile ulivyokurupuka kuandika ndo vile ulivyokurupuka kumuoa dem wa rafiki yako. Sina wazo la kukupa.
 
Mahar si ndoa kijana ni wakati wa uchumba wa kuchunguzana kama huna amani vunja uchumba we sio wa kwanza ilimradi tu uwe na sababu muhimu..
 
Inamaana wewe ulivamia mapenzi ya watu, maadamu uliamua kumpandisha cheo kabisa malizia tu kipande kilichobakia.
 
Okay okay muache aendelee kuwa demu wa mshikaji wako ila wewe muweke ndani fasta!
 
Back
Top Bottom