Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naitwa J, umri wangu ni miaka31, naishi Dar, elimu shahada ya kwanza, dini Mkristu, situmii kilevi chochote, nimtakae awe na umri 25-36, awe mweupe, elimu kidato cha nne mpaka shahada...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Natafuta mume wa kunioa, awe mkristo Elimu: Diploma na kuendelea Kazi: Awe na shuguli yoyote halali ya kumuingizia kipato, Mwonekano: Asiwe mfupi sana na asiwe mnene sana. Sehemu: Awe anaishi Dar...
3 Reactions
82 Replies
12K Views
Naomba mwanamke yyt mwenye kutaka urafiki nami si kuoana unri kuanzia 30 hadi 46 ajitokeze zaidi tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau karibuni wanaokizi kigezo hicho karibuni
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Wakuu, heshima kwenu! Nimekuwa kwenye mahusiano na wasichana tofauti kwa vipindi tofauti kwa muda sasa…na hatimaye nikaamua kutulia na mmoja baada ya kujitambua vema na kuamua kuishi maisha hasa...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Mwanamke mjinga:- 1. Anamkomoa mumewe. 2. Analala mapema kabla ya mumewe. 3. Anachelewa kuamka kabla ya mumewe. 4. Mbishi, anahisi kuonewa mda wote. 5.Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni...
7 Reactions
63 Replies
18K Views
Uchunguzi usio rasmi mfupi nilioufanya kutoka maeneo ya wilayani na mijini ni kuwa Pamoja na maisha kuwa magumu lakini tofauti na miaka ya nyuma kidogo siku hizi wanaume hawakimbii majukumu...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Naongea hivi maana wanawake wengi wa leo tunashindwa kutofautisha mume na mtu mpita njia au kwa maneno mengine mtu usie na uhakika nae kwamba mtaishi wote kama mume na mke. Unakuta mwanamke...
13 Reactions
92 Replies
11K Views
Nimekua msomaji tu lakini acha leo nitue huu mzigo, nimeona mwenzangu wishes to turn back the hand of time mi natamani nife.Simply kwasababu sina furaha katika ndoa yangu na sababu ni kuolewa na...
12 Reactions
230 Replies
25K Views
Hello Girl. Poleni na kazi ndugu zangu' mimi naamini mke uliyepangiwa na Mungu unaweza kutana naye popote. Naomba mdada yoyote aliye single au hata kama upo katika mahusiano yasiyo seriously...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Wakatongoza wanaongea uongo uongo mbaya ukigundulka unaachwa, mwingine anatongoza huku anakuita mdogo wangu au dada. Sasa angekuwa dada yako au mdogo ako ungemtongoza? Kama mdogo wako kwanini...
2 Reactions
125 Replies
17K Views
Habari wana jukwaa.... Kwanza naomba niweke wazi kuwa mimi nimeoa na nina watoto kadhaa. Na mke wangu sio mbaya sana, ana umbo zuri tu japo sura ndo hakujaaliwa. Amefanana na baba yake (nahisi...
5 Reactions
78 Replies
8K Views
habari wana JF,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36,nina mtoto mmoja wa miaka 6 natafuta mwanamke wa kuishi nae awe mke wangu.Mimi ni mfanyabiashara nina kipato cha kawaida kuendesha maisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Namshukuru Mungu tatizo langu limekwisha, nitajitahidi kuwa muangalifu ili nisipatwe tena na shida kama hii, nilijikuta nimechanganya nikakutana na rafiki yangu siku hiyo hiyo...
7 Reactions
143 Replies
19K Views
Kuna somewhere nilienda kucheki issue Fulani, fortunately nikakuta kumbe ni sehemu majirani zangu tuliotoka wote kijijin huwa wanakaa so tukasalimiana and so on. Among them kulikua na one girl...
2 Reactions
97 Replies
11K Views
Habari wanajamvi. Kwanza ningependa nianze kwa kutoa shukrani kwa rubii atoto cute b na Heaven Sent kwa support wanayonipa kwenye hii biashara..Mbarikiwe sana Nimedumu kwenye biashara hii kwa...
10 Reactions
132 Replies
13K Views
Wakuu habarini za jumapili. Leo napenda kuzungumzia suala la mtu ku pretend na kutaka kuonekana katika jamii kwamba ni mtu fulani smart lakini anachokionyesha yeye hayuko hivo hata kidogo . Suala...
3 Reactions
116 Replies
11K Views
Wazoefu, hapa mnasemaje kama kichwa cha hii mada inavyosema. Karibuni
0 Reactions
17 Replies
5K Views
I greet you all my elders(wakuu) Walengwa ni wanaume ambao wana uhusiano wa msichana mmoja(sio ndoa) wanaonana mara moja kwa wiki siku za week end,kama jumamosi/jumapili. Kuna wadada...
3 Reactions
111 Replies
10K Views
Back
Top Bottom