Nina takribani mwezi hivi sasa toka nikutane kimwili na mpenzi wangu wa zamani na kwa bahati mbaya sikutumia kinga nilianza kuhisi kuugua ugonjwa huu kama wiki mbili zilizopita na kwa bahati mbaya...
Habari wakuu,
Naombeni ushari juu ya hili suala kwasababu naona naelekea kupotea toka nimpate huyu msichana performance yangu ya chuoni imepungua mno, pili tumekuwa tukigombana kila siku, tatu...
Habari zenu,
Nimejiunga JF kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto Zamda, anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa DSM, lakini huyu mwanangu ni...
USIFANYE JAMBO LOLOTE KWA SHINGO UPANDE
NI KUPOTEZA MUDA WAKO TU UKIFANYA HIVYO
Chochote unachoamua kufanya, kifanye kwa moyo mmoja, kifanye kwa juhudi zako zote na maarifa yako yote.
Au...
Miaka 13: usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: sitaki nikuone na yule mvulana tena.
Miaka 23: lini utatuletea mchumba wako?
Miaka 26: wenzio wanaolewa.
Miaka 30: tumekuambia kwamba acha kuchagua...
Imekuwa ni kawaida wanaume kuwapa wanawake fedha aidha kwa kuwa ni marafiki au wachumba au wanandoa.Mwanamke katika ndoa hupenda kutumia fedha zake kwa mambo binafsi na mambo kama hayo.Je kama...
Habari zenu wadau, wivu ni kitu muhimu katika mapenzi lakini ukizidi huwa unakuwa Tatizo. Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, home tulipata msichana kwa ajili ya kutusaidia kazi za nyumbani yaani...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa Neema ya uhai na afya.
Pili napenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea.
Tatu nawashukuru wadau wote wa...
Mrejesho
Hhr wadau WA jukwaa hili?
Napenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru nyote kwa michango yenu na mawazo yenu.
Pia nawashukuru wote mliyekuja pm, isingewezekana kuwapa nafasi wote kwakuwa...
Wakuu salama,
Kulingana na kautafiti kadogo nilikofanya, nimegundua watoto wakike wengi waliokulia kwenye mageti (mboga saba) wengi wao hawajui malavidavi. Ukikutana na mabiiti hawa then...
Nina rafiki yangu namuonea huruma sana, maana jamaa anahonga sana, na nimeanza naye kazi pamoja miaka 4 iliyopita, na nilisoma naye chuo kimoja na darasa moja, bahati nzuri baada ya kumaliza...
Wanandoa waliokuwa ndio kwanza wanaanza maisha walihamia katika mtaa mmoja na kupanga nyumba katika eneo hilo,Siku ya pili wakiwa wanapata chai asubuhi mke alimwona jirani kwa mbaali kupitia...
Kichwa cha habari chahusika hapo juu..
> Kama upo lonely
> Frustated
> Hopless
> You need company
> And unconditional care
Plzzz pm me now...I wil respond on time!
Vigezo na masharti kuzingatiwa
mie ni bint wa miaka 25 ni h.i.v possitive din mkristo , mwajiliwa katik kampuni fulani hv, ni mrefu ,rangi maji ya kunde....
kwa mwanaumw aliyetayar tuyajenge maisha kwa kufarijian na upendo...
Baada ya kupata na kufanikiwa kupata kazi kwenye mashirika ya uma nilipangiwa kazi mkoani na ndo mpaka sasa nafanyia kazi huku. Baada ya kuwasili kazini ilinibidi nikayafute nyumba ya kufanikiwa...
Mke anaombwa aingiliwe nyuma.
Walianza mahusiano wote wakiwa chuo kaka mwaka wa pili binti mwaka wa kwanza.
Kwa ujumla binti ni mzuri sana tena sana ni kama anaushombe kwa mbali umbo limemeguka...
I greet you all my elders
Katika mila zetu za kiafrika rafiki ni mtu ambaye mnakuwa na maelewano na ukaribu kama ndugu wa damu.Hii ilikuwa tofauti kwa huyu rafiki yangu anayeitwa baba Gasto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.