Nini tofauti kati ya mtoto wa kwanza wa kiume na mtoto wa kwanza wa kike?

Sasa unataka tofauti nyingine ipi wakati mwenyewe ushaiweka wazi
 
Wa kwanza wa kiume lazima awe na shedu km la yule chizi aliyezimikiwa na binti mlokole.

Wa kwanza wa kike lazima awe km yule binti wa Arabun hajui kukatika na anahisi chipupa ishakuwa gharasa.
 
Wa kiume wa kwanza huwa kiongozi wa ndugu zake hasa baada ya baba kutangulia na wa kike wa kwanza kumsaidia mama kazi za nyumba na uleezi wa wad0go zake
 
Mi nafikiri mtoto wa kwanza wa kiume kama baba alimpa intro nzuri ya maisha huwa ni msaada sana kwa ndugu zake. Unakuta mzee akiishiwa nguvu yeye ndo anasomesha wadogo zake.

Wapo wa kike wanafanya hivyo ila wanawake wengi kama ameolewa na hana kibarua wala biashara kusaidia ndugu zake hasa kuwapa elimu inakuwa ni ngumu.

Mtoto wa kike kwa maisha ya siku hizi naona mpaka Mungu akusaidie. Kuwalea imekuwa kazi sana. Na hasa wanapokuwa kimwili na kuonesha usichana wao mzazi kila wakati tumbo juu. Na hasa wanaume wa siku hizi hata binti wa darasa LA tano wanamtamani.
 
Mtoto wa kwanza akiwa wa kike atapata shida kidogo kwenye kusoma maana familia inakuwa bado haiko vizuri financially coz ya mambo mengi ,na mtoto wa kike anahitaji care kubwa sana hasa katika elimu ili aweze kufikia ndoto zake maana mtoto wa kike akishindwa kupata elimu atateseka.
wa kiume akiwa wa kwanza inakuwa poa coz huyu anaweza soma mazingira yeyote .anaweza shida
 
Sasa unataka tofauti nyingine ipi wakati mwenyewe ushaiweka wazi

Twaib!

Tofauti ya kimsingi iliyopo ni hiyo ya jinsia tu.

Mengineyo ni makuzi na malezi utakayowapatia hao watoto.

Zaidi ya hapo, awe wa kiume au wa kike, mtoto ni mtoto tu na ukimkuza na kumwongoza vizuri katika safari yake ya maisha basi uwezekano wa yeye kuja kuwa raia mwema aliye na maadili mema ni mkubwa.
 
Mi nafikiri mtoto wa kwanza wa kiume kama baba alimpa intro nzuri ya maisha huwa ni msaada sana kwa ndugu zake. Unakuta mzee akiishiwa nguvu yeye ndo anasomesha wadogo zake.

Wapo wa kike wanafanya hivyo ila wanawake wengi kama ameolewa na hana kibarua wala biashara kusaidia ndugu zake hasa kuwapa elimu inakuwa ni ngumu.

Mtoto wa kike kwa maisha ya siku hizi naona mpaka Mungu akusaidie. Kuwalea imekuwa kazi sana. Na hasa wanapokuwa kimwili na kuonesha usichana wao mzazi kila wakati tumbo juu. Na hasa wanaume wa siku hizi hata binti wa darasa LA tano wanamtamani.
Uyo wakiune asipoamua kua shoga,maana afadhali tumbo joto la binti linasolvika
 
itakuwa poah sana kama mtoto wangu wa kwanza akawa shemale au hefemale
 
Wakike akiwa first inapendeza kwanza wanawake wana huruma sn endapo atafanikiwa maishani hasahau wazazi lkn wakiume mh... hasa wakiwowa thubutuu mwingine hadi ruhusa ya mkewe ndo awatumie fweza wazazi
 
Mtoto wa kiume wa kwanza ndiyo msimamizi wa kila kitu na jambo lolote hata akija oa au kuwa na familia bado hatopoteza mali za familia anazozisimamia...

Mtoto wa kwanza wa kike.... ni kichwa na msimamizi wa kila kitu na jambo... ila hupoteza mali za familia atakapoolewa...
 
Back
Top Bottom