Habari za siku kidogo wakuu,
Leo nimeamka nawaza hapa kuna jambo linanitatiza
(Ni kama miezi 8 toka nilivyofahamiana na kaka mmoja tulikutana katika kazi akanipenda
Ila mimi sikumpenda kiviile tukawa marafiki wa kawaida ila akaendeleza mtongozo daily tukaendelea na mawasiliano mwishowe ikawa kama naanza kumpenda ila alikuwa kama haeleweki hivi nikajagundua ana mke nikakata mawasiliano.
*Baada ya muda siku moja tukiwa katika ishu za kazi alifatwa na gari na mdogo wake sehemu tulipokuwa kikazi then akanitambulisha kwa mdogo wake (wakiume) tukasalimiana fresh ikapita.
Ilikuwa Dec 2015 yule mdogo mtu alinitafuta ofisini alinipa tenda flani nikafanya nae kazi vizuri tu ikapita hapo sasa tukawa tuna mawasiliano nae chatting za hapa na pale utani maisha yakaenda.
"Siku moja akafunguka tu kwamba ananipenda nikazuga of coz na me nilishampenda ni mkaka educated, smart, lovely sikupenda kumpoteza coz alinambia yupo single bado anaweka maisha yake vizuri alafu atatafuta mke aoe.
Hivi naandika ni mwanaume wangu lakini juzi kaka mtu kantext hivi "nashukuru sana kwa uliyonifanyia siamini ila all the best na dogo."
Sijaweza kumjibu wala mdogo mtu sikuwahi kumwambia kuhusu mtongozo wa kaka yake sijui nianzie wapi.
Nishaurini wakuu nimwambie mdogo mtu au nife nalo moyoni maana naogopa isijeleta conflict kwa hawa ndugu wa tumbo moja.