kuna kabinti kalihamia mtaani kwetu kalikuja kwa dadake ili mwakani wakataftie chuo..
Nlitokea kukapenda nikafukuzia kwa takriban miezi 2 ndo nikakapata ila uhusiano ulidumu mwezi mmoja kakasema...
Kipindi baba alivyo kuwa mgonjwa aliniambia mwanangu kila napo kuona na nikikufikilia, basi natokwa na machozi.nikamwambia kwanini akunijibu .sasa ameshatangulia mbere za haki. na sijui...
Unakuta uko na mchumba/demu/mke wako anakuambia beib kule Kisarawe kuna viwanja vinauzwa ekari moja laki 4 tu nenda kanunue ekari 5 tukajenge huko tuweke na mifugo, kama kuku wa nyama, na mayai...
Kumezuka haka katabia ambako sijui hata hawa wanawake na akina mama walikutana wapi kukaa kikao na kufikia makubaliano au maazimio kuwa wote wafanye hivyo.
Nataka kusema kwamba sasa kumezuka...
NI VEMA UKAFANYA HAYA KWENYE MAISHA MAISHA YAKO YA KILA SIKU
1. Usimwamini 100% mtu uliyemjua ukubwani.
2. Anayejidai anakupenda sana chunguza kwanini.
3. Anayekuletea habari kila siku mara...
Habari wanajf!
Ni hivi huyu ni jamaa yangu sababu mjomba wake alimuoa shangazi, na pia tumesoma darasa moja O level na tuliunda group discussion moja.
Tumekuja kumpenda dada mmoja kwa nyakati...
“Na nitakachomfanyia dada yako atakusimulia kesho, kama hajakusimulia utayaona machozi yake kwa mara ya kwanza katika maisha yako”
Jackson aliondoka kwa hasira.
Jackson hakumsimulia yeyote yule...
Habari wanajanvi,
Naomba munishauri kwa hekima mimi ni muislamu naruhusika kuoa hadi wake 4 kwasasa niko na 1 nataka kuongeza wa 2.
Mimi kazi yangu ni kutoa huduma kwa jamii, katika kazi yangu...
Kwema wanaume wenzangu?
Ebana jana nilikua tilalila mbaya,asa design flani mshikaji wangu flani wa kitambo ambae tumekua tukisaidiana mambo kadhaa ya kimaisha nikamzngua,inasemekana nimemtukana...
Salaam wanajamii wenzangu,mwenzenu ninajirani angu najitahidi kumuelewa ila mh ngumu sasa.
Akipata matatizo hasa yakuugua kuuguliwa hasemi kama anamatatizo unayasikia kwa watu basi kwaaibu...
Baada ya kujifunza mengi tangu nikiwa chuoni na hata sasa nafanya kazi nimeona niulize jambo hili kwenu wadau;
Inakuwaje msichana( mwanamke) analalamika na kusema huyu kaka/Baba ananisumbua sana...
Ni hivi majuzi tu mdogo wangu wa mwisho kafunga chuo akaja nyumbani kwangu kukaa DSM, nikaona nimtafutie shughuli ya kufanya ofisini kwangu, amefanya asubuhi naondoka naye na kurudi naye jioni...
Habari zenu wanajamiiforums.
Binafsi miaka ya karibuni naona kasi ya sisi wanaume kuoa au kufunga ndoa inapungua sana yaani sasa hivi kuoa kumeisha kabisa hivi kuna nini wanaume wenzangu.
Hata...
Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto. Lakini wao wakitiwa nje basi nyodo mtindo mmoja...
Nasema hivi maana wanaume mmekuwa ni watu wa kutuchulia kama wanaume wenzenu vile.
Sisi wanawake hatuko hivyo jamani tunataka kusikia maneno matamu, kama mke wangu umependeza, mke wangu una...
Baada ya wazazi wawili kutengana mara nyingi mtoto hubaki kwa mama na hapo ndipo mama hutumia nafasi hiyo kujenga chuki mbaya kwa mtoto kumhusu babake.
Mtoto akiwa mdogo ataanza kusimuliwa mabaya...
Wazima wadau,
Naulizia sehemu watakayo kuwa wanatengeneza dread lock hair kwa mtu anayeanza kabisa. Iwe shinyanga mjini au kahama sio mbaya naweza enda weekend.
Usiyasikie mapenzi ukadhani ni kitu cha mchezo, saa nyingine watu hujiua kwa ajili ya mapenzi, wengine hupoteza kazi na hata ramani ya maisha, hivyo usisikie mapenzi ukayachukulia kitu rahisi...