Uwe kijana au mzee linapokuja suala la mapenzi ni suala lisilo kwepeka hata hivyo kuwa mwangalifu ndicho kitu cha msingi kuliko kitu chochote na ili kumfahamu mtu unahitaji kitu kinaitwa muda...
Inasikitisha sana, kuna mdada tumekuwa normal friends bila ya kuwa na makubaliano ya kuoana, hatimaye mwezi wa 8 tukafanya mapenzi na ikapelekea kupata mimba.
Cha ajabu anadai kuwa lazima nimuoe...
Wapendwa natumaini valentine ilikuwa njema kwenu.
Kuna vitu ambavyo inatakiwa mvijadili na kukubaliana na mwenza wako kabla hamjaingia kwenye ndoa. Vitu kama Dini, mzae watoto wangapi, na sehemu...
Ebhana Niaajee?
Tukizungumzia maswala ya faragha Hasa KUNGONOKA huwa dizain kama kuna upande wa SISI WANAUME tunapendelewa hivi, sijui na nyinyi mmeshaligundua hilo?
Yaani NAMAANISHA unakuta Tendo...
Wanajamii
katika pitapita yangu nimekutana na hii taarifa ya utafiti:
Source: UTAFITI: Wanafunzi shule za msingi wakithiri kwa ngono
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
UTAFITI uliofanywa na...
Habari za wakati huu huu wandugu na majamaa.....
Siku hizi imekuwa ni jambo la kawaida kukuta mwanamke yupo singo hata katika umri ambao angetazamiwa kuwa ameshaolewa....
Au imekuwa ni kawaida...
MADHARA 12 YA KUTOFANYA MAPENZI
KWA MUDA MREFU.
1. Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo.
2. Kupendelea sana kuangalia picha za uchi.
3. Kusahausahau.
4. Kupendelea story za mapenzi.
5...
Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya Hela.. Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitwa Jina lako tu, Good morning Eddy..Hallow eddY How is your Day...Goodnite eddY.
Ukiwa unampa kati ya 100,000...
Wakuu habari zenu....
Naombeni msaada kwa hili wakuu hivi inakuaje upo kwenye mahusino na huyo mwanamke uliye naye ana kuwa mtu wa lawama kwako mda wote na pia wewe unaonekana mkosefu kwa kila...
Siku hizi vijana wa kileo wamekuja na mpya eti usipowaonyesha mwenza wako wanahisi haupigi kazi, jogoo hawiki, joka wa kibisa n.k. Kama haitoshi wametoa na neno jpya kuwa eti utaitwa midimpozi kwa...
Okay ni hivi, my boyfriend is in Canada and I'm soon going to another country.
Yeye anasema ana mpango tuoane in the future lakini mimi sina huo mpango nae kwa kweli. We are both 20 na sitaki...
Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi ambaohutaka kufunga ndoa kuliko ilivyo kwa wanaume. Hilo tunaliona wazi tokana na shamra shamra ambazo nazo...
Yani story iko hivi, kuna mshikaji wangu kaja kwangu wanaishi na mke wake na mtoto mmoja, lakini kila jukumu la familia analijua mwanaume.
Mumewe kakopa pesa ya kumtoa mke wake hospitali, lakini...
Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae...
Imebidi nijiulize hili swali, hivi mtu mbinafsi yuko vipi? Je mimi ni mmoja wao?
Kwa mfano nikitaka kitu changu huwa sina compromise, when pursuing something huwa sijali wengine wanafikiri nini...