3 Months rule

rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
13,627
17,584
Uwe kijana au mzee linapokuja suala la mapenzi ni suala lisilo kwepeka hata hivyo kuwa mwangalifu ndicho kitu cha msingi kuliko kitu chochote na ili kumfahamu mtu unahitaji kitu kinaitwa muda.

Miezi mitatu ni magic number ya kumfahamu mtu research na study nyingi zinakiri.Unahitaji kusubiri hadi mwezi wa tatu kwa mtu kuanza kuonesha namna au jinsi alivyo kihalisi (deep seated patterns) sahihi za mtu unayetaka kuwa na mahusiano naye huanza kuonekana.

Hii ina maana kwamba upya wake au ule umaalumu wake kwako huanza kuchakaa na unaanza kumuona mtu wa kawaida.Vichekesho vyake utaanza kuvizoea, tabia zake alizokuwa anaficha zitaanza kuonekana wazi.

Hii ina maana kwamba kuoana na mtu ndani ya miezi 3 ni risk kubwa mno labda Mungu awe ameongea na wewe uso kwa uso kama Musa.
 
Miez 3 yote hyo? Mim maama toto yangu tumejuana ndan ya mwez nkatangaza ndoa na mpaka sasa tunaendelea,,,,,
 
kama vile kuna swali nlitaka kukuulza lkn ngoja nipite tu...
 
Miezi mitatu si wote muwe mnataka long term relationship?
what if mmoja hataki long term?
au wote mnataka kupunguzana tu stress za maisha?
miezi mitatu si kuongezana tu stress?
 
Uwe kijana au mzee linapokuja suala la mapenzi ni suala lisilo kwepeka hata hivyo kuwa mwangalifu ndicho kitu cha msingi kuliko kitu chochote na ili kumfahamu mtu unahitaji kitu kinaitwa MUDA.
Miezi mitatu ni magic number ya kumfahamu mtu research na study nyingi zinakiri.
Unahitaji kusubiri hadi mwezi wa tatu kwa mtu kuanza kuonesha namna au jinsi alivyo kihalisi (deep seated patterns) sahihi za mtu unayetaka kuwa na mahusiano naye huanza kuonekana.
Hii ina maana kwamba upya wake au ule umaalumu wake kwako huanza kuchakaa na unaanza kumuona mtu wa kawaida.
Vichekesho vyake utaanza kuvizoea, tabia zake alizokuwa anaficha zitaanza kuonekana wazi.
Hii ina maana kwamba kuoana na mtu ndani ya miezi 3 ni risk kubwa mno labda Mungu awe ameongea na wewe uso kwa uso kama Musa.
Kama ni michache vile!
 
Baadhi ya watu wanakomaa na kuficha makucha mpaka siku ile anasaini cheti kanisan kuwa ameshakuwa mke wako halali tu....Hakika balaa zitaanzia hapo hapo ukumbini we utajipa moyo kuwa ni hii shampen...Subiri muingie chumbani usiku cha kwanza anakuambia usiniguse kabisa leo sijisikii....Utahesabu misumari ya mabati hadi asubuhi na haitosaidia...
 
si
Uwe kijana au mzee linapokuja suala la mapenzi ni suala lisilo kwepeka hata hivyo kuwa mwangalifu ndicho kitu cha msingi kuliko kitu chochote na ili kumfahamu mtu unahitaji kitu kinaitwa muda.

Miezi mitatu ni magic number ya kumfahamu mtu research na study nyingi zinakiri.Unahitaji kusubiri hadi mwezi wa tatu kwa mtu kuanza kuonesha namna au jinsi alivyo kihalisi (deep seated patterns) sahihi za mtu unayetaka kuwa na mahusiano naye huanza kuonekana.

Hii ina maana kwamba upya wake au ule umaalumu wake kwako huanza kuchakaa na unaanza kumuona mtu wa kawaida.Vichekesho vyake utaanza kuvizoea, tabia zake alizokuwa anaficha zitaanza kuonekana wazi.

Hii ina maana kwamba kuoana na mtu ndani ya miezi 3 ni risk kubwa mno labda Mungu awe ameongea na wewe uso kwa uso kama Musa.
sidhani kama kuna fomula katika hilo rubii,kuna watu wanaweza jificha hata kwa miaka mitatu ndipo akaanza kuonyesha uhalisia wake
 
Back
Top Bottom