Kwanini kila kitu ni sisi wanaume tu?

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Ebhana Niaajee?
Tukizungumzia maswala ya faragha Hasa KUNGONOKA huwa dizain kama kuna upande wa SISI WANAUME tunapendelewa hivi, sijui na nyinyi mmeshaligundua hilo?
Yaani NAMAANISHA unakuta Tendo linafanywa na mwanamke na mwanaume lakini Cheo cha usukani anapewa mwanaume
mfano. "Kuto.mbwa, kugegedwa, kutiwa, kunyooshwa, kumwagwa maji,
UKIANGALIA HIZO KAULI HAPO utagundua zinamaanisha kuwa kitendo hiko kinafanywa na mwanaume alafu anaefanywa ni mwanamke.

TENA UTAKUTA LABDA DEMU ANAMWAMBIA BEST YAKE "fulani jana kanitia"

SASA KWANINI NA WANAWAKE NAO WASIWE NA MISEMO YAO AMBAYO WAKIITAMKA ITATUFANYA MOJA KWAMOJA TUJUE KUWA HILO TENDO LIMEFANYWA NA MWANMKE NA ALIEFANYWA NI MWANAUME?

kwanini hatimiliki ya tendo iwe kwetu sisi WANAUME tu?
 
ni kwa sababu sisi sio wanawake!
 
Aah, NDOMANA MNAKUWA MNASEMA TUMEWACHEZEA KUMBE TENDO TULIENJOY SOTE....
ndiyo maana mkuu embu fanya imagination... kinu na mtwangio kinu kinakaa chini mtwangio unakuja juu huku ikiwa unapandishwa juu na kushuka chini kinachotokea ni kinu kutikisika kidogo kutokana na kishindo cha mtwangio.. sasa hapo nani anayemfanya mwenzie acheze .. mtwangio unamfanya kinu anaecheze japo anacheza kidogo... so kwa maana hiyo mtwangio ndiyo unamchezea kinu
 
Mbona ni swala la maamuzi tu...we Fanya hivi ukitoka kufanya hicho kitendo nendabwaadithie tu washikaji zako kuwa umetoka kuto..mbwa au umetoka kufi.rwa..simple wala usiumize kichwa... 9 was once 6..
 
ha hahah unataka mwenzio aombwe aisee
 
Kuna zile style za Kinu kinakuwa juu na mtwangio unakuwa chini? HIYO NAYO UTAUSINGIZIA MTWANGIO?
acha fix Miss
 
Mbona ni swala la maamuzi tu...we Fanya hivi ukitoka kufanya hicho kitendo nendabwaadithie tu washikaji zako kuwa umetoka kuto..mbwa au umetoka kufi.rwa..simple wala usiumize kichwa... 9 was once 6..
Hiyo ya kutom.ba ni misemo yetu sisi wanaume... na wao watunge ya kwao ili wakome kutusingizia TUMEWACHEZEA kumbe raha tulipata sote
 
Back
Top Bottom