Wasichana wa mjini pasua kichwa (kama uniamini nipotezee)

wambagusta

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,825
2,291
Vyangu anataka, nikimpanga nataka uwe wangu hajibu. Nikimwambia vipi kuhusu yule boyfriend wako uliyeniambia siku ile niliyokutokea? Hajibu, anatabasamu, anatikisa kichwa anajichekesha.

Mfano hai juzi aliniambia anaumwa kifua, basi poa twende dukani tukanunue dawa hataki, anataka nimpe pesa akanunue mwenyewe.
 
Wasichana bana bora uwe wala machangu maana wao hawakuchuni
 
Vyangu anataka, nikimpanga nataka uwe wangu hajibu. Nikimwambia vipi kuhusu yule boyfriend wako uliyeniambia siku ile niliyokutokea? Hajibu, anatabasamu, anatikisa kichwa anajichekesha.

Mfano hai juzi aliniambia anaumwa kifua, basi poa twende dukani tukanunue dawa hataki, anataka nimpe pesa akanunue mwenyewe.
hapo jiongezee na wewe
 
Msimu huu wa mpito wataipatia wapi hela ya kuhonga ? Labda kama una ukichaa Fulani hivi sio burebure
 
wa kijijini pasua ini, bora kichwa kipasuke unajua unadedi papo hapo kuliko ini
 
Vyangu anataka, nikimpanga nataka uwe wangu hajibu. Nikimwambia vipi kuhusu yule boyfriend wako uliyeniambia siku ile niliyokutokea? Hajibu, anatabasamu, anatikisa kichwa anajichekesha.

Mfano hai juzi aliniambia anaumwa kifua, basi poa twende dukani tukanunue dawa hataki, anataka nimpe pesa akanunue mwenyewe.
Vipi lakini mzigo anatoa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom