Asalaam Alaikum wanajamvi,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Tunajua akina dada wengi hutilia maanani suala la kupendezesha nywele zao.
Hakuna ubaya wa hilo ila tatizo huja pale wanapokuwa...
Swali langu ni kuwa kwanini wadada wa Bongo Movies na madada wengi wa mjini kamwe huwezi kuta waatoka na matajiri wa hapa Bongo.
maana hapa Bongo tuna MATAJIRI NA WAFANYABIASHARA
Sasa mie...
"My OUTLOOKS"
<22/FEB/2016>
* * * * * * * *
Moja Kati Ya Mambo Ambayo Wengi Tunajidanganya Na Kujikanganya Kwny Maisha Yetu Ya Kimahusiano Ni Mambo Haya Mawili.
Wengi Wetu Tumeshindwa...
Hii nimeipata mahali nikaona ni vema ku-share nanyi,
Njano: Inapopakwa ndani ya chumba inahamasisha mazingatio, huamsha akili kuwa tayari na ndio maana hupakwa katika mabasi ya shule ili watoto...
Nimeshuudia harusi za kifahari zikivunjika ndani ya siku saba baada ya siku saba, kumi, ishirini, ...toka agano la altareni. Baada ya mkataba kuwekwa kando, kunafuata maoni mengi kadiri ya...
"Thinking Out Loud"
When your legs don't work like they used to before
And I can't sweep you off of your feet
Will your mouth still remember the taste of my love?
Will your eyes still smile from...
Wasalamu!
Naombeni nichukue nafasi japo dakika tano nipate kusema hili kwa vijana wenzangu.
Kumezuka kasumba ya vijana kupenda kuoa/kuolewa na kijana/mabinti ambao wameajiriwa na wakati mwingine...
Kumekuwa na haka katabia ka wake za watu kuwa katika groups za WhatsApp. Group hizi hujitambulisha kama za wanafunzi wa zamani, mapishi, kufundana, maombi, 'vikoba' n.k. Baadhi ya makundi yana...
Hey wenye jamvi, natumaini wote mu wazima!
Je unakumbuka ni sababu zipi zilikufanya uoane na mwenzi wako?
Ninaomba tujadili hili sababu kuu zilizokufanya uoane na mwenzi wako. Lengo la hii...
Usikubali kuitumia kila zawadi unayoletewa kama maumbile yako hayaendani nayo. Sawa akina dada???
Unajua kuwa papuchi yako ni kubwa na ni pana kama mdomo wa pochi, kwann uletewe pichu aina ya...
Ukijikuta katika hali ambayo humpendi tena mwenza wako mke/mme. Mnawatoto wawili au wa tatu.
Kwa sababu mbalimbali imetokea humpendi tena mwenza wako. Umejaribu kujilazimisha, ume pretend...
Natafuta mchumba wa kike Muislam,mwnye kumcha Allah na mwenye maadili mema.
Umri 18-22 mwenye kuajiriwa au aliejiajiri,nipo serious na nahitaji mtu aliye serious pia,mimi ni mtumishi serikalini na...
Habari wakuu,
Mimi ninachokijua mwanamke ametanguliza hisia mbele na mwanaume ametanguliza akili mbele.
Sasahivi ni kitu gani nyie wanawake mfanyiwe ili uone unapendwa kwa dhati nje na maneno...
Nairobi, Kenya: A man almost lost his precious life after a botched and desperate attempt to boost the size of his manhood including performance in bed. Details of the case published in the...
Dear Mamboz! Hope wote wazima
Ninauliza tu kama ni kweli......... Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mahubiri kutoka kwenye Radio moja hapa Dar. Alikuwa mchungaji wa kike akawa anasema kuwa ni...
Wadau heshima kwenu,
Wengi wetu tunapenda kujiswafi sehemu nyeti hasa tunapokuwa na miadi ya kimapenzi na wenza wapya bila kuelewa athari tunazoweza kumbana nazo hasa wale tunaonyoa zote na...