My outlooks 26/Jan/2016, wekeza kwa marafiki hawa

Prosper C Manasse

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
635
690
P { margin-bottom: 0.08in; }

"my outlooks"

* * * * * * * * * * *

<26/jan/2016>

Wekeza kwa marafiki hawa:

*urafiki unamisingi miwili tu.

1. Giving (kutoa/kujitolea)

2. Taking (kupokea)

Misingi hii ya urafiki huwa haina unyonyaji na haijengwi kwa kuhesabu mazuri ulomtendea rafikiyo.


Mahusiano.

*Mahusiano yanamisingi ama yanabebwa na vitu vingi kama hobi na mazingira ya utafutaji au hata mazingira ya kiimani.

Unaweza kuwa na mahusiano na watu fulani lakn unapopatwa tatzo humtafuti hata mmoja kati ya hao 10 bali unamtafuta rafik mtu wako wa karibu ambaye mnafaana kwa shida na raha na mara nyingi huwa hampo karibu na wala hamuwasiliani mara kwa mara.

Jenga mahusiano na watu hawa:

* Katika kuwekeza ama kujenga mahusiano kwa misingi ya urafiki, angalia watu wakweli na wenye roho nzuri ambao mwisho wa siku watakusaidia ama wewe kuwasaidia (kusaidiana)

* Shida tulonayo wengi ni kupenda kuwekeza kwa watu walofanikiwa bila kujali wanaroho nzuri wakweli ama waongo mwisho wa siku tunagundua kwmb tulijenga mahusiano na watu wabaya.

* Katika mahusiano tulonayo leo, tupo na ambao tunawaita marafiki wanauwezo mzuri na mkubwa wa kutusaidia lakn hawana moyo wa kutoa ama kujitoa. Pengine unashida ya pesa, ajira ama msaada wa jambo fulani ambalo lipo ndani ya uwezo wake lakn atakufanyia figisu ili tu usifanikiwe.

* Wapo pia tunaowaita marafiki wanatuona tunataabika lakn kwao ni furaha yani anataka uendelee kuwa chini yake ili apate kukukanyaga vizuri na kukusengenya kwa watu lakn kama ungezingatia kuchagua rafiki mkweli kamwe asingekufanyia hayo.

* Rafiki anakununulia pombe hata za elfu50 lakn ukimwambia unashida ya hata elfu10 anaruka futi mia wakat hiyo elfu10 hata angekupa asingeathirika kwa lolote kulingana na nafasi yake ya kiuchumi.

* Wote wenye tabia tajwa hapo juu na nyingine zinazofanana na hizo, si marafik bali ni watu ambao tunamahusiano nao tu ktk nyanja moja hadi nyingine na pia sio watu wa kuwategemea saaana ktk mipango yako maana mwisho wa siku watakuangusha tu.

* Kutoa ni moyo ndugu zangu na wala si utajiri. Ukiendelea na kutegemea kuwekeza kwa marafiki walofanikiwa bila kujali wana roho nzuri na wakweli, utaendelea kuwa mtu wa lawama wakat wote, pia usivunje ama kuwatenga marafiki ulotokanao mbali eti kisa umefanikiwa.

* Jambo la msingi pia la kuleta matumaini ktk maisha yako, usitegemee kusaidiwa tegemea kujisaidia maana hilo ndilo kimbilio na msingi wa kipato chako. Yeyote yule mwenye kutegemea kusaidiwa kuliko kujisaidi, ni mtu alojaa lawama.

Kumbuka kusaidiwa si haki yako bali ni upendeleo tu.


Nb: Penda kusaidia kuliko kusaidiwa, utalipwa usipotegemea.
 
Kweli kabisa hiyo dhana ya kuwa tayari kujisaidia kuliko kusubiri kusaidiwa ili kuepusha lawama nimeipenda na iwaeende wote waliokatika harakati za kufunga harusi maana wengi wetu tunakuwaga na mategemeo makubwa ya kusaidiwa mwisho wa siku inakuja kuwa lawama kubwa na wengine hadi kuvunja mahusiano waliokuwa nao kwa miaka mingi mno.
 
"MY OUTLOOKS"
* * * * * * * * * * *
<26/Jan/2016>

WEKEZA KWA MARAFIKI HAWA:
*Urafiki Unamisingi Miwili Tu.
1. Giving (Kutoa/Kujitolea)
2. Taking (Kupokea)
Misingi Hii Ya Urafiki Huwa Haina Unyonyaji Na Haijengwi Kwa Kuhesabu Mazuri Ulomtendea Rafikiyo.

MAHUSIANO.
*Mahusiano Yanamisingi Ama Yanabebwa Na Vitu Vingi Kama Hobi Na Mazingira Ya Utafutaji Au Hata Mazingira Ya Kiimani.
Unaweza Kuwa Na Mahusiano Na Watu Fulani Lakn Unapopatwa Tatzo Humtafuti Hata Mmoja Kati Ya Hao 10 Bali Unamtafuta Rafik Mtu Wako Wa Karibu Ambaye Mnafaana Kwa Shida Na Raha Na Mara Nyingi Huwa Hampo Karibu Na Wala Hamuwasiliani Mara Kwa Mara.

JENGA MAHUSIANO NA WATU HAWA:
*Ktk Kuwekeza Ama Kujenga Mahusiano Kwa Misingi Ya Urafiki, Angalia Watu Wakweli Na Wenye Roho Nzuri Ambao Mwisho Wa Siku Watakusaidia Ama Wewe Kuwasaidia (Kusaidiana)

*Shida Tulonayo Wengi Ni Kupenda Kuwekeza Kwa Watu Walofanikiwa Bila Kujali Wanaroho Nzuri Wakweli Ama Waongo Mwisho Wa Siku Tunagundua Kwmb Tulijenga Mahusiano Na Watu Wabaya.

*Ktk Mahusiano Tulonayo Leo, Tupo Na Ambao Tunawaita Marafiki Wanauwezo Mzuri Na Mkubwa Wa Kutusaidia Lakn Hawana Moyo Wa Kutoa Ama Kujitoa. Pengine Unashida Ya Pesa, Ajira Ama Msaada Wa Jambo Fulani Ambalo Lipo Ndani Ya Uwezo Wake Lakn Atakufanyia Figisu Ili Tu Usifanikiwe.

*Wapo Pia Tunaowaita Marafiki Wanatuona Tunataabika Lakn Kwao Ni Furaha Yani Anataka Uendelee Kuwa Chini Yake Ili Apate Kukukanyaga Vizuri Na Kukusengenya Kwa Watu Lakn Kama Ungezingatia Kuchagua Rafiki Mkweli Kamwe Asingekufanyia Hayo.

*Rafik Anakununulia Pombe Hata Za Elfu50 Lakn Ukimwambia Unashida Ya Hata Elfu10 Anaruka Futi Mia Wakat Hiyo Elfu10 Hata Angekupa Asingeathirika Kwa Lolote Kulingana Na Nafasi Yake Ya Kiuchumi.

*Wote Wenye Tabia Tajwa Hapo Juu Na Nyingine Zinazofanana Na Hizo, Si Marafik Bali Ni Watu Ambao Tunamahusiano Nao Tu Ktk Nyanja Moja Hadi Nyingine Na Pia Sio Watu Wa Kuwategemea Saaana Ktk Mipango Yako Maana Mwisho Wa Siku Watakuangusha Tu.

*Kutoa Ni Moyo Ndugu Zangu Na Wala Si Utajiri. Ukiendelea Na Kutegemea Kuwekeza Kwa Marafiki Walofanikiwa Bila Kujali Wana Roho Nzuri Na Wakweli, Utaendelea Kuwa Mtu Wa Lawama Wakat Wote, Pia Usivunje Ama Kuwatenga Marafiki Ulotokanao Mbali Eti Kisa Umefanikiwa.

*Jambo La Msingi Pia La Kuleta Matumaini Ktk Maisha Yako, Usitegemee Kusaidiwa Tegemea Kujisaidia Maana Hilo Ndilo Kimbilio Na Msingi Wa Kipato Chako. Yeyote Yule Mwenye Kutegemea Kusaidiwa Kuliko Kujisaidi, Ni Mtu Alojaa Lawama.
Kumbuka Kusaidiwa Si Haki Yako Bali Ni Upendeleo Tu.

NB: PENDA KUSAIDIA KULIKO KUSAIDIWA, UTALIPWA USIPOTEGEMEA.
Asante ndugu.Nimepata kitu
 
Ajitafutiaye marafiki wengi hujitafutia uanhamivu wake mwenyewe.!!!!!


Mchague Mungu awe rafiki yako mkuu napia mpende pacha wako anayeitwa your inner man ( mtu wa ndani)
Hapa namaanisha jipende wewe saana, coz humu duniani watu wenye urafiki wa kweli ni hadimu sana.

Ukifanya hayo utajiepusha na mishale mingi ya lawama za marafiki wasio na shukrani.
 
Ajitafutiaye marafiki wengi hujitafutia uanhamivu wake mwenyewe.!!!!!


Mchague Mungu awe rafiki yako mkuu napia mpende pacha wako anayeitwa your inner man ( mtu wa ndani)
Hapa namaanisha jipende wewe saana, coz humu duniani watu wenye urafiki wa kweli ni hadimu sana.

Ukifanya hayo utajiepusha na mishale mingi ya lawama za marafiki wasio na shukrani.
Neno Jema
 
Back
Top Bottom