Prosper C Manasse
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 635
- 690
"My OUTLOOKS"
<22/FEB/2016>
* * * * * * * *
Moja Kati Ya Mambo Ambayo Wengi Tunajidanganya Na Kujikanganya Kwny Maisha Yetu Ya Kimahusiano Ni Mambo Haya Mawili.
Wengi Wetu Tumeshindwa Kutofautisha Kati Ya Special Care Na Minor Care.
SPECIAL CARES.
Ni Huduma Za Msingi Ambazo Mwanaume/Mwanamke Anapaswa Kumpa Mwenziwake. Special Cares Ikikosekana Ni Sawa Na Pilau Kukosa Nyama.
MFANO> WANAUME.
Kuijali Familia Kwa Mambo Ya Msingi Kama Chakula, Malazi, Mavazi, Mawasilino, Elimu, Afya Na Mengine Kama Hayo.
MFANO> MWANAMKE.
Kwa Upande Wa Mwanamke Special Care Ni Kumtii Mumeo, Kumpa Mwenziwako Mapenzi Matamu, Kumfulia Nguo, Kumfariji, Kumtia Moyo, Kumjali Mumeo/Watoto, Usafi Na Mengineyo Kama Hayo.
MINOR CARES.
Ni Mitindo Ya Kimaisha Ambayo Hufanywa Na Wenza Na Huwa Haina Maana Kubwa Sana Wala Nguvu Ktk Mapenzi Pasi Na Msingi Wa Special Care. Kwa Kifupi Minor Cares Ni Vionjo Ktk Mapenzi Yani Ni Kama Kiazi Kwny Pilau Na Si Nyama. Minor Cares Ni Catalyst Ya Mapenzi.
MFANO.
Kutoka Na Mwenzi Mkaenda Beach etc, Kulishana, Kumfungulia Mpenzi Wako Mlango Wa Gari, Mabusu AnyWhere, Kupigiana Simu Mara Kwa Mara, Kubebesheana Miguu, Na Mengine Kama Hayo.
JAMBO LA KUSHANGAZA.
Special Care Imegeuzwa Kuwa Minor Care Na Minor Care Imegeuzwa Kuwa Special Care.
Ktk Mahusiano, Kama Maisha Yenu Ni Magumu, Hakika Hakuna Hata Mmoja Wenu Ambaye Atajali Kumpiga Busu Mwenziwake Ama Hata Kumpigia Simu Mara Kwa Mara Na Kumuita Baby Nyiiingi Wakat Hamna Uhakika Wa Milo Mi3. Mtapigana Mabusu. . . . . Labda Tu Mkiwa Ktk Tendo La Ndoa Na Si Bar, Barabarani Au Kwingineko.
KITU AMBACHO WANAWAKE WENGI HAWAKIJUI.
Wanaume Wanaojua Kubembeleza Huwa Ndiyo Wanaojua Kuumiza Sana, Tena Ndio Wanaume Ambao Hawana Hata Huruma Wakat Wanakutenda Binti Wawatu.
Kuwa Makini Sana Na Wanaume Ambao Nomino Za Kimapenzi (Dear, Swittie, Hanie, Darlie) Hazikauki Midomoni Mwao. Kama Ulonalo Ni Penzi Jipya Basi Usitie Shaka Lakn Usiiache Shaka Ikaenda Zake Na Ukatanguliza Hisia Badala Ya Kuitanguliza Akili Alokupa Mungu.
Ikifika Hatua Ukaiacha Akili Yako Iendeshwe Na Hisia, Basi Tambua Kwmb Umekwama Kuliko Mabinti Wote East Africa.
KITU AMBACHO WANAUME HATUJUI.
Mabinti Wengi Hata Wake Zetu, Hupenda Sana Kutumia Nomino Za Kimapenzi Wakat Wanahitaji Uwafanyie Jambo Fulani.
MFANO.
Baby Naomba Pesa Ya Kuosha Nywele.
Siku Akiwa Na Hitaji Lake Basi Wiki Nzima Baby Na Switti Zitatawala Sana Mdomoni Mwake Na Hapo Ndipo Ambapo Ile Pesa Ulotaka Kumtumia Mama Yako (Nani Kama Mama) Unaibadili Matumizi Na Kumridhisha Demu/Mke Wako Kwa Wakat Usio Sahihi.
TAMBUA HII.
Mwanaume Hupata Raha Na Hisia Tamu Sana Ya Kuwa Mwenziwake Pale Anapoona Mambo Yake Yanaflow Vizuri. Mwanaume Akiwa Na Uhakika Wa Kipato Basi Akili Yake Hufunguka Na Kutamani Ama Kuhitaji Kuwa Na Mwanamke Yule Ampendaye Sana.
Kwa Majira Haya Ya Mh.Rais John Pombe Magufuli Na Hii Kasi Yake Ya Kutumbua Majipu, Wanaume Wengi Ambao Tulitegemea Njia Za Panya Kupata Pesa Sidhani Kama TunaHisia Za Kimapenzi Maana Mh.JPM Kaharibu Kila Kitu, Mpaka Jipu Lipone Ushaachika Hahahahaha Coz Ule Mfereji Wa Wizi Ndio Ushazibwa Hivyo So Mpaka Ukae Sawa Na Njia Za Kipato Halali Demu Wako Unamuita Shemeji Vijana Washakupindua.
HITIMISHO.
Mabinti Tambueni Tofauti Na Maana Ya Special Cares And Minor Cares Ili Msije Kudanganywa Huko Nje Mkaawaacha Wapenzi Wenu Wasiojua Kuita Baby Lakn Wanawajali Ninyi, Ndugu Zenu Na Familia Zenu Kuliko Nini Sijui.
Msikimbilie Elfu50 Unayopewa Na Mchepuko Mara1 Kwa Mwezi Wakat Mumeo/Mwenziwako Ndiye Alokufanya Ung'ale Kama Jua.
NB: HISIA ZIKIKUTAWALA UMERUHUSU MAPENZI YAKUTAWALE. AKILI IKIKUTAWALA, UMERUHURU UCHAMBUZI JUU YA MWENZI NA PENZI LAKO.