Nimeshuudia harusi za kifahari zikivunjika ndani ya siku saba baada ya siku saba, kumi, ishirini, ...toka agano la altareni. Baada ya mkataba kuwekwa kando, kunafuata maoni mengi kadiri ya mitazamo ya washereheshaji.
Zamani vijana waliandaliwa kuanzia hatua za awali kabisa, kuelekea ndoa, na baada ya ndoa kufungwa (iwe kimila au kiimani). Miaka hii vijana tunajiandaa, tunasindikizwa altareni, na kisha tunaachwa tupeperuke ili hali mabawa hayajakomaa.
Mjini inatafutwa hela kwa udi hata ubani, ili hali washauri waliokuwa wakiaminiwa kwa sasa wengi wao wamevurugwa na mfumo wa maisha.
Ilizoeleka matatizo ya kifamilia yatapatiwa ufumbuzi chini ya wazee wa kanisa, wachungaji, mapadri, mashekhe, ... Watu wote hao wameelemewa na majukumu hayo, hawaaminiki, wamekuwa money mongers.
Mbaya zaidi kuna hawa wajasiriamali wenye uelewa mchanga huku wakihubiri haki sawa, usikubali kufanyiwa a,b,c,; malezi duni kabisa, jamii haijui isimame wapi dhidi ya mabadiliko makubwa ya utamaduni, mfano usagaji, ukahaba, ushoga, ....
Watu wengi wanakimbilia kwenye social media kupata sympathy, japo huambulia kejeli, dharau, ... Pumba na chenga ni nyingi kuliko mchele.
Kwa mantiki hiyo, naona kuna haja ya kuwa na washauri wa masuala ya mahusiano katika hosptali na vituo vya afya, hususani vya umma.
I'm ecomiser in DNA, ila linakuja suala la mustakabali wa jamii naona kuna haja ya kuwaajiri watu hao.