Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajamvi mnishauri kama si kunielimisha ni hivi nina mchumba wangu ambaye imebaki siku kama tano nifunge naye pingu za maisha ila kilichonishtua mpaka niandike uzi huu ni jana alikuja nitembelea...
7 Reactions
201 Replies
22K Views
Utafiti nilioufanya kwa muda mrefu, umebaini kuwa wanaume wenye vitambi ni wazinzi sana. Sio ofisini, sio marafiki, sio kanisani, wanaume wenye vitambi ambao nawafahamu kama marafiki, ndugu au...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Kuna msemo unasema,cheza ngoma huku ukiangalia ka jua kimaadili kufanya mapenzi wakati hujaolewa au kuolewa ni kosa kubwa japo ni vitu ambavyo vipo katika jamii.Watu wazima wanasema ujana ni kama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni wana jamii forum, Mimi napata shida sana kwenye haya mambo ya mapenzi. Nimekuwa nikinunua malaya sasa nimeamua kutulia nitafute mwanamke mzuri na mwenye tabia nzuri niweze kuanza...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ni msichana aliekua mpenzi wangu kipindi niko 0-level. nakumbuka vizuri alikuwa hajawahi fanya mapenzi na m'me yoyote. Kusema kweli sikumpenda ingawa yeye alinipenda sana. nilipenda tu...
6 Reactions
149 Replies
20K Views
niko more interested kujua gharama za harusi naomba mnisaidie kupata mchanganuo mzuri wa gharama zake nataka kufunga ndoa ya kislam mwezi wa 5 maitaji ya watu yawe watu 200 lakini pasipo pombe...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
UKATILI WA KIJINSIA? Mwanasiasa mkongwe Moses Wetang’ula Senator wa kaunti ya Bungoma, ambaye pia ni Waziri wa zamani wa mambo ya nje na Waziri wa zamani wa Biashara nchini Kenya. Jumapili ya...
0 Reactions
64 Replies
9K Views
WanaJF, Nimetulia na kuamua kuleta kwenu uzi huu ili mnisaidie ushauri!Miaka ya 2002 nilikuwa na uhusiano na binti mmoja ila bahati mbaya tulipoteana kipindi kirefu sana takribanii miaka 10...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
1. Mama mwenye mtoto/watoto aliyeachika 2. Mwanamke aliyeachika 3. Mwanamke yupo karibu mitandao yote ya kijamii, hakuna habari ya kimbea yeye anapitwa (Tena siku hizi WhatsApp wanawake hasa...
15 Reactions
93 Replies
15K Views
1 ) STOP COMPARING!! "Why don't you dress like Mike's wife?",Why you never take me out! See how Ann's husband goes out with her all the time?"; "Couldn't you be more hardworking,can't you see how...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Leo ni siku ya wanawake duniani kabla ya kwenda sana kwanza fikiria "siku ya wanawake." Si nia yangu kuwakandia but hoja yangu ni vita vya kipumbavu wanayopigana na jinsia ya kiume. Ukiwasikiliza...
3 Reactions
103 Replies
10K Views
Natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 18~30 Johnkipepe@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna jamaa ananieleza mpenziwe kavunja uhusiano nae kisa alimtusi. Ilikua hivi; kulikua na kutokuelewana baina ya wapenzi, mhusika akaamua kuporomosha matusi kwa binti. Binti kaghafilika...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikishuhudia sana tena kwa kiasi kikubwa mnoo kulaumia baina ya wanawake na wanaume katika suala zima la mausiano(ndoa),iwe ktk jamii huku tunakoishi au humu JF...
8 Reactions
337 Replies
22K Views
Kama utakuwa na ujasiri wa kutosha, na ukafanya kitu kikubwa, ambacho hakijawahi kufanywa na ambacho kinaweza kuwasaidia wengi. Watu hawataacha kusema, na haya ndiyo yatakayosemwa.. Kuna makumi...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
Kaka yangu anahitaji mke ambaye ni very simple, yaani asiwe mcharuko na mpenda starehe hasa pombe n.k umri wake ni 34years. Mwanamke yoyote ambaye yupo serious awasiliane naye kwa 0629141421...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Juzi nilileta uzi humu nikiomba wapi naweza pata sindano za vichaa kwa ajili ya kuondoa kabisa hisia za mapenzi, kwani nia yangu ni kuachana na mwanaume, na sikutaka habari ya kuchepuka...
3 Reactions
145 Replies
16K Views
From my experience, from reading, from my marriage, from common sense and from history...Women use sex to get something. Whether be marriage, promotion, favor or anything. To prove my point, see...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Unamkuta mwanamke na wigi lake la kichina anajitingisha kama nywele zake, mtongoze sasa,katika mambo Mara utasikia usiniguse nywele zangu dear.Hizo ni nywele zako au bosheni. Hata kukatika mauno...
10 Reactions
58 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…