Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Am resident of Nairobi, so I met this girl like a week ago na ashaanza kuniita 'sweetheart' and asking if I can loan her Kshs. 7000/= her rent is overdue.... Nimkopeshe ama afungiwe nyumba?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Sio kila mwanamke anayeshinda kanisani atakuwa na maadili mema au ndo mke mwema! Wengine ni waigizaji wanashinda kanisani ili wasipate kutengwa na jamii zinazowazunguka! Tena unaweza kukuta mtoto...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Walikutana wakiwa chuoni wakaanzisha uhusiano na baada ya mwanaume kumaliza chuo mpenzi wake akiwa mwaka wa mwisho wakoana kwa harusi. Maisha yakaenda wakapata mtoto na mume akapata kazi mkoa...
10 Reactions
52 Replies
7K Views
Kabla ya yote niwatakie heri ya sikuu ya pasaka wanaJF. Nipo hapa kwa ombi la kuhitaji ushauri kutokana na kisa kifuatacho ambacho kimenisibu mimi mwenzenu. Nina rafiki yangu wa kiume ambaye...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
updates... Asante Georgina kwakukubali... but kuna mambo nitaendelea kuwa makini hasa kuhusu tabia zako.... tulianza wote...lazima tumalize wote ============================================ Kwako...
18 Reactions
74 Replies
9K Views
I am 26 years. Nimekutana na sista mmoja nae 26 years, nimempenda.Sasa habari ni kuwa amekuta picha za msichana wangu wa zamani kwa simu yangu. Tena nilimpiga tukiwa guest house.Nisiongope...
0 Reactions
86 Replies
11K Views
Sikumoja nimetoka nipo ka hoteli flani napata moja na mbili, siunajua tena kipind cha barid na tena nilikua nakunywa zanzi mweeeeeeee! Lazma upate mtoto wakusugua lasivyo bafu litakuhusu. Katokea...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Ndugu zangu, napenda nitoe somo kwa ufupi, kuwa ipo hatari sana ya kuwa na mahusiano na zaidi ya mmoja. kwa mujibu wa maandiko 1WAKORINTO 6:15-16, "yeye alyeungwa na kahaba ni mwili mmoja nae"...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Natafuta mwanamke mwenye umri wa miaka 18 mpaka 30 na awe Msukuma mrefu wastani, mweupe wastani na asiwe mnene na awe amesoma japo mpaka form four au zaidi na awe mfanyakazi,mfanyabiashara au...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Aaaahhh jamani huyu mzazi mwenzangu kila ukiomba pesa yeye hana ila kila siku anakunywa sasa leo nimemuandikia message "baba swalehe vip tena leo huna pesa" amenuna wakati jina hilo na wimbo huo...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Utakuta watu wanapofunga ndoa, badala ya kupeleka BARAKA ya ndoa yao katika nyumba yao na kwenye kitanda chao, wao wanatafuta hoteli wanalipia tena kitendo hicho kimepewa jina zuuuri eti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Za kampeni? Diamond aliimba kuwa ujana ni maji ya moto. Mimi ni mume na baba pia.Lakini naona niliyoyafanya ujanani yananiandama.Kipindi nikiwa chuo kikuu, nilikuwa na marafiki wangu wa kiume wa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Bwana yesu asifiwe! Jamani nimema wengi kanisani hamuendi, sasa inabdi tufundishane humuhumu tu. Kiukweli wapo watu toka siku ya kwanza mpaka leo wana miaka10, mke wala mume hajawai kusikikia...
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Happy new year to all. natumai wote mko fresh na mmeanza mwaka vyema, tushaingia mwenzi mgumu wa January watu tumeenjoy sikukuu zote sasa vichwa vishaanza kuuma ada za shule na mambo mengine...
4 Reactions
95 Replies
13K Views
Mke na Mume asubuhi moja wamegombana ndani ya nyumba. Mwanaume anadai kwamba mkewe ndio mwenye kosa na anapaswa kumuomba msamaha. Mke hakuona ni issue kwake na hakuona haja ya kusema "samahani"...
9 Reactions
15 Replies
3K Views
Hebu tuitizame ndoa ya watumishi hawa ili tujifunze kitu. NDOA YA YUSUFU NA MARIA Nimetamani sana tujifuze jambo katika ndoa ya Yusufu na Maria. Nimechukua mfano huu kama ndoa/uhusiano wowote wa...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Tamthilia , movies na mziki wa kimagharibi zimekua zikichangia kwa kiasi kikubwa kuleta ujinga na kupunguza uwezo wa kufikiri kwa vijana walio wengi. Uvaaji wa mavazi ya uchi hasa kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
mie nimeachana na mke wangu, lakini wakatu tuanakutana miaka 8 iliyopita nilikuwa na nyumba na shamba kubwa tu, baada ya mambo kutokwenda vizuri, tuliamua kuachana. huyu mama tulionana bomani...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Kwanza namshukuru Mungu kutujalia hali ya hewa ya mvua mvua ili kuondoa hili vumbi ardhini. Back to my topic, Ni kijana wa miaka 27 Ambae alitokea kupendana na mwanamke wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Unadhani ni kwanini alikuwa anapigwa kila siku na mume wake Maana mume kila akifika nyumbani husema nifungulie mke wangu. mke sifungui huna akili mjinga mwanume wewe kila siku unachelewa kurudi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…