Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,683
I am 26 years.
Nimekutana na sista mmoja nae 26 years, nimempenda.Sasa habari ni kuwa amekuta picha za msichana wangu wa zamani kwa simu yangu. Tena nilimpiga tukiwa guest house.Nisiongope, kifupi ni kuwa nimem cheat.
Hivyo, ameamua kuvunja rasmi mahusiano na mimi, amesema niendelee na huyo ex girl wangu.Lakini mie huyu ndo naona mwanamke wa kuoa, yule wa zamani sina mpango nae wa maisha. Huyu ndio naona ananifaa jamani (msema kweli mpenzi wa Mungu)
Je niendelee kukomaa kuomba msamaha?Ama ndo basi tena sina changu.Nitasamehewa kweli wadau?
USHAURI wenu muhimu.