kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
Aaaahhh jamani huyu mzazi mwenzangu kila ukiomba pesa yeye hana ila kila siku anakunywa sasa leo nimemuandikia message "baba swalehe vip tena leo huna pesa" amenuna wakati jina hilo na wimbo huo unaendana haswaaa na yeye mwenyewe.