mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 613
Tamthilia , movies na mziki wa kimagharibi zimekua zikichangia kwa kiasi kikubwa kuleta ujinga na kupunguza uwezo wa kufikiri kwa vijana walio wengi.
Uvaaji wa mavazi ya uchi hasa kwa wanawake,wanaume kuvaa hereni,kuchora tatoo mwilini,kutokuheshimu wazee ni baadhi tu ya madhara yanayoletwa na vitu hivi.
Wito wangu;
Si kila kitu mkionacho kwenye tamthilia au internet kinapaswa kuigwa,leo nikiwa ndani ya pantoni nimekumbana na binti huyu akiwa amevaa miniskirt inayoonesha mapaja yake yote nje mbele ya watoto, wanaume nikajiuliza haoni aibu? But finally nikarialize kwamba ni ujinga wa kuiga vitu bila kujiuliza mara mbilimbili