Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 601
- 2,508
Unadhani ni kwanini alikuwa anapigwa kila siku na mume wake
Maana mume kila akifika nyumbani husema nifungulie mke wangu.
mke sifungui huna akili mjinga mwanume wewe kila siku unachelewa kurudi mpaka atamfungulia mume wake na hapo kinachofuata ni kipigo zoezi hili liliendelea kila siku kila wiki kila mwezi kwa muda mrefu
Mwisho yule mama akaamua kmwambia mama mchungaji kuwa mbona wewe hupigwi bila shaka una dawa za miti shamba nipe na mimi
Mama mchungaji kuona hivyo akajua huyu imani yake ni miti shamba
Akaamua kusaga mkaa akachanganya na sukari akampa na akampa mashart kuwa anapokuja mume wako weka hii dawa katika magego yako unauma usiongee ili dawa imkandamize mwili wake
Dada akachukua akafanya hivyo hakupigwa tena unadhani ni nini kilimfanya apigwe na asipigwe