DaveSave
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 440
- 637
Utakuta watu wanapofunga ndoa, badala ya kupeleka BARAKA ya ndoa yao katika nyumba yao na kwenye kitanda chao, wao wanatafuta hoteli wanalipia tena kitendo hicho kimepewa jina zuuuri eti HONEYMOON,
Wanapeleka BARAKA zao hotelini wiki nzima baada ya kutoka kanisani. Je,chumba na kitanda mnachoenda kulalia hapo hotelini kimevunjiwa amri ya sita mara ngapi?
Je, wake kwa waume wamesaliti ndoa zao nakulalia vitanda hivyo mara ngapi?
Je, hapo mnachukua BARAKA za ndoa au laana na mikosi?
Hatuoni kama tunachukua BARAKA za ndoa tulizopata kanisani na kuziacha hotelini kisha tukachukua laana na mikosi hotelini na kuzipeleka katika NYUMBA tunazokwenda kuishi siku zote matokeo yake tunakuwa tumefungua milango itakayotumiwa na adui kuwaletea mikosi katika ndoa yenu?
Cheki waliokwisha shiriki kitendo hiki wanavyotokwa na mapovu
#NiMtazamoTu