Natafuta mwanamke mwenye umri wa miaka 18 mpaka 30 na awe Msukuma mrefu wastani, mweupe wastani na asiwe mnene na awe amesoma japo mpaka form four au zaidi na awe mfanyakazi,mfanyabiashara au asiyekuwa na kazi.
Mimi ni mrefu, mweupe, mwembamba wastani kazi yangu ni mfanyabiashara na elimu yangu ya chuo, sijawahi kuoa na sina mtoto.
Kwa aliye tayari kukutana nami anipm, tafadhali sana nahitaji watu walio serious sana na swala hili ahsanteni, maana hakuna sehemu maalum katika dunia hii ya kuweza kupata mke/mme amwema maana Mungu ndiye anayejuwa nani atakuwa mke/mme wa nani.