Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
Sikumoja nimetoka nipo ka hoteli flani napata moja na mbili, siunajua tena kipind cha barid na tena nilikua nakunywa zanzi mweeeeeeee! Lazma upate mtoto wakusugua lasivyo bafu litakuhusu.
Katokea mrembo kaja kakaa kwenye Meza niliyokaa kwasababu meza zingine zilikua zimejaa.
Baada ya salam mrembo kaagiza kuku na castle lite ile anaanza kula nikadesa kwenye blauz kifua ni Shidaaaaaaaa. Nikaomba namba na ndo ukawa mwanzo wa kufahamiana.
Kiukweli amekua ni mpenzi wangu kwa miezi sita sasa. Ila kinachonishangaza ni kuwa hana kazi yoyote ile lakini kwake furniture za maana, nikienda napikiwa msosi wa maana na sitoi ata kumi. Usiku papuchi na pewa na asubuh siachi cha kupoozea. Weekend natolewa out napiga bia za kutisha silipi bilin daaaaaah.
Kiukweli hajawai niomba ela ila kuna wakati namtumia tu.nikaamua nikate ukimya nimuulize nani anamlipia kodi na kumuhudumia mahitaji yake.
Baati mbaya Siku moja kaugua nikapigiwa simu na shemeji nikaanza kwanza kutafuta kadi yake ya bima na baada ya kupata mkoba wenye kafi nyingi nyingi nikijua pia Bima itakuemo nikauchukua mkoba mzima.
Nyoooo. Ndani nikakutana na kadi ya kuwekewa njiti kwajili ya kuzuia mimba. Alipopona nikamuuliza kwanini ameweka njiti kuzuia mimba akaamua kufunguka ukweli kwakua ananipenda na tulishaweka malengo.
Kabla ya Mimi alikua na wanaume wwngi na had wakati huu yupo nao na kutokana na alikua anatembea nao na wanamuudumia pesa ndefu akaamua kutumia njiti asinase mimba, nyoo kajasho akoooo kakanitoka.
Nikamkumbuka baraka the prince. Unipe pesa za yule nitumie utanipenda kwa lipi?. Kaahidi kuachana nao na kuniahid kubadilika kwani amenipenda na anaitaj kuitwa mke wa MTU.
Kiukweli sina malengo naye kwasasa na nikiwa na hamu yakula mzigo ndo namtafuta ananipa napotea.malengo yote kwake kushnei na siwez muoa.
Kuwa makini sana kama una mwanamke APA mjini anaishi maisha safi na hana kazi maalum .