Ushauri: Ameachana na mpenzi wake aliyekuwa nae

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Habari zenu wakuu,

Kwanza namshukuru Mungu kutujalia hali ya hewa ya mvua mvua ili kuondoa hili vumbi ardhini.

Back to my topic,

Ni kijana wa miaka 27 Ambae alitokea kupendana na mwanamke wa miaka 35, mwanzoni hadi tulisema jamaa amepata maana mapenzi yalikuwa moto moto.

Baada ya muda yule mwanamke akawa anamsumbua mshikaji, ikawa inasemekana huko ofisini anapofanyia kazi mwanamke kuna vidume vinapewa papuchi bila hiyana.

Sasa jamaa ameamua kubreak up kwasababu amekuja kugundua mwanamke sio, coz kwake kwa week wanaingia kila dizain ya wanaume nyumbani kwake.

Sasa jamaa anacholalamika na kuomba ushauri ni kwamba bado anampenda huyo mwanamke japokuwa ni mkubwa kwake ki umri na hata kimaisha (Ni mwajiriwa katika kampuni fulani, ana nyumba, ka usafiri ka kuzunguka mjini, na mkwanja wa kutosha) ila jamaa yeye ni mishen town.

Cha kushangaza japo kuwa msichana ndie aliyekuwa ana pesa, lakini jamaa hata watoke out bill zote jamaa analipa kwa pesa yake, huku mwanamke anaangalia! Sasa mwanamke wake anamtangazia mbovu kuwa yeye alikuwa mwanaume suruali, bill za out alilipa yeye, hivyo hana faida yoyote.

Ushauri: Je jamaa afanyaje maana kitaa tu memshauri hataki kuacha kumfikilia, sometimes yeye ni kulewa tu akimkumbuka huyo mwanamke, jamaa anampenda kweli huyo mwanamke tatizo mwanamke chenga, analiwa kinoma na vijana wa kitaani kwake, pia kuna uzushi kwamba mwanamke tayari mtambo wa Kinyerezi (UKIMWI) anao mwilini mwake, jamaa afanyaje?
 
Mwambie hivi mapenzi yapo na yataendelea kuwepo.

Kwanini alazimishe penzi kwa MTU ambaye haeleweki. Akiendelea kufanya hivyo atakuja kujuta zaidi ya hapo.

Haya maisha tu
 
Life is the art of letting go, the only problem is it doesn't give us enough time to say goodbye.
 
Kuna mijitu inatia hasira sana ata kusikiliza story yake natamani ni mchape vibao akili zirudi
 
usimkataze asije akajinyonga bure mwambie aende mpaka atakapo shiba,manake ukubwa dawa na hujui anapewa nini
kama ukonae karibu sana mulize akwambie anachopewa pengine hata wewe ungeweza kupita barabarani unalia...
 
Huyo kamzidi umri na kila kitu. Kama mmemshauri hasikii muacheni akachukue zawadi ya ushindi kwanza
 
Back
Top Bottom