Natafuta mume mwenye maambukizi ya HIV

majani00

Member
Dec 21, 2015
16
3
Habari wana jamvi, Mimi ni msichana wa miaka 28 ,nilijigundua nina maambukizi ya HIV mwaka 2012.. Natafuta mtu ,mwenye hali kama yangu ,ili tuanzishe familia umri kuanzia miaka 33.Asante aliyetayari ani pm
 
Nipm na mm nnao ila umri nna 26 kama upo tayari tuwasiliane
 
Asante kwa nia ila umri nadhani itakua kikwazo

Umri ni namba tu cster, Mond kazidiwa miaka karibia 9 huko na Zari achana na Shakira aliyemzid mumewe Pique miaka 10, we miwili unaona kikwazo!!

Hapana bhna, elewana na mwenzio please!
 
Pole sana kwa hali hiyo. Najua inakufikirisha sana lakini I hope utampata tu
 
Habari wana jamvi, Mimi ni msichana wa miaka 28 ,nilijigundua nina maambukizi ya HIV mwaka 2012.. Natafuta mtu ,mwenye hali kama yangu ,ili tuanzishe familia umri kuanzia miaka 33.Asante aliyetayari ani pm
Nakuombea vumilia kwa baadhi ya majibu utakayopata, hawajafa hawajaumbika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom