Natafuta Binti wa kuoa

Natafuta Binti wa kuoa

ndama1

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
278
Reaction score
96
Natafuta binti wa kuoa umri 23 - 27, sibagui dini wala kabila awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, mimi ni mkazi wa Dar na ni mwajiliwa serikalini, umri wangu miaka 29.
 
kama una vigezo ni pm ili uweze kujua mengi
 
si umesema unatafutia watu
Wapi Nimesema nawatafutia???

Kusaidia na kutafutia ni vitu viwili tofauti.

Maswali yangu yalikuwa ni msaada kwa wengine wasipate shida ya kuuliza tena.
 
ni vyema ukisaidia baada ya kuombwa msaada kwa anaehitaji kusaidiwa na kukueleza vigezo vyake anavyohitaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom