MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,639
Za asubuhi?, hope mko poa kabisa.
Straight to the point, kuna msichana mmoja nilitumia miaka mitano tokea anikubalie mpaka nimkamatilie chini,mwingine ilikuwa siku moja baada ya kunikubali lakini kuna mwingine nilimkamatilia chini hata kabla sijamtongoza.
Swali langu ni je inatakiwa ipite muda gani tokea mtoto anikubali hadi kupiga mambo ili asije kuniona mtu wa ajabu na mimi nisimshangae na kumuona kicheche?