issabella
Member
- Mar 15, 2016
- 61
- 32
Leo nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, wanaume wengi kwanini mkiwa katika mahusiano na mpenzi, mchumba au mtu ambaye una mahusiano nae hampendi kueleza ukweli wenu juu ya maisha yenu mpaka mnadanganya na kusema uongo, mfano nina gari, nyumba na vitu vingi tu na kujisifu, mwisho wa siku unakuja kujua mapenzi yameiva, hivi nini sababu ya kudanganya, nisaidieni jamani.