manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
Naishi na mwanamke, tumekaa 3 years hatujajaliwa mtoto. Mwezi wa pili alipata msiba akaenda kwao akiwa kule alinipigia amepata bibi mtaalam wa tiba asili anampa dawa mwez wa 3 tarehe 7 akaniambia yupo siku zake, akamaliza tarehe 11. Tarehe kumi na 5 akaja tukashiriki tendo kama kawaida tarehe 5 a kanuna kipimo kajipima akaniambia ni mjamzito. Dalili kwel niliziona nilikua nimesafiri nimerudi mm siamini kabisa huu ujauzito kwa hesabu zinagoma kabisa kweli.
Mtu anaweza toka siku zake mimba inase?
Ushauri jaman nisije bambikiwa WanaJF.
Mtu anaweza toka siku zake mimba inase?
Ushauri jaman nisije bambikiwa WanaJF.