mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,322
- 56,058
Ukishiriki na mtu kimapenzi awe mwanandoa au mchepuko tegemea yafuatayo:
1) Kama ana ngekewa utarithi ngekewa yake ndio kitu inaitwa kusafiria nyota ya mwenzako
2)Kama ana gundu mtashare hayo magundu mpaka mchanganyikiwe ni kama kwenye genetics mambo ya cross breeding basi na kwenye michepuko kiroho iko hivyo ndio maana kuna makanisa yanakitu inaitwa deriverence japo mimi siiamini kivile.