juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Habari wanajamvi?
Jamani hivi ni kwanini wanaume tuna mambo ya kuvumisha mambo ya kuzushi? Mtu unaamua tu kuvumisha mambo, kwa mfano mtaani unaweza ukakuta kuna dada au msela anavumishiwa habari kwamba ana HIV, lakini hakuna alompima.
Mfano mimi kuna dada nilishawahi kufanya nae mapenzi mara mbili tena pekupeku zote na kuna siku alilala kwangu hadi asubuhi na ndio nilimsugua sana mana nlimchapa mabao kadhaa, nilimsugua kweli yani, baada ya wiki nikapata habari kwamba kaungua.
Yaani nilikosa raha wiki nzima, nikaamua kwenda kupima, nimepima mara tano na mara ya mwisho nimepima tarehe 7 april mwaka huu, lakini nipo safi tu na damu yangu ni A- sasa najiuliza, hivi angekuwa kaungua si angeshaniambukiza? Wanaume bwana tunavumisha, tunazusha na kueneza habari mbaya za uongo sana na sijui unakuwaje mtu unavumisha taarifa mbovu za uvumi na uzushi kuhusu mwenzako.