Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani wanajamvi, habr za wikendi. Kuna wanaume mamburula sijawahi kuona. Kuna wanaume mambuzi hadi wanakera, kuna wanaume sijui wana wadaudu kichwani. Yaani kuna wanaume sifa za kuitwa wanaume...
3 Reactions
47 Replies
12K Views
Naomben msaada wadau.
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Natafuta mchumba ambaye atakuwa my wife,mimi nina miaka 30 nipo Kinondoni.sifa zake awe mcha mungu,asiwe mvivu pia awe tayari kupima HIV na magonjwa mengine.aliye tayari ani pm namba yake...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za weekend wapendwa, natumaini muwazima wa afya, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo kuu kilichonisukuma kuongea hivyo ni huu mkanganyiko ninauona kwa hawa wanawake kwa kutokuwa na...
13 Reactions
166 Replies
18K Views
Ndugu zangu mabibi na mabwana napenda kuwakaribisha katika bachela pati mitaa ya Njiro Arusha. Nyote mnakaribishwa bila kukosa ila kama una mke acha nyumbani njoo mwenyewe na kama una mume muache...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ni kijana (mwanaume) wa Dar! Nimejaribu kufanya comparison kati ya vijana wengi wa bara na wale wa visiwani nikagundua kuwa vijana wa visiwani wana ishi maisha mazuri sana kuliko sisi wa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Alimpenda mno mke wake, alijitahidi kumpa mkewe kila kitu kilochopo ndani ya uwezo wake, lakini mke wake hakuwa akiridhika na ku appriciate. Ingawa hakuwa tajiri lakini alijitahidi mno ku share...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari ya j3 huwa najiuliza kwa haraka. Kati ya mke/mume au wapenzi wa jinsia tofauti yupi huanza kumkinai mwenzi wake kwa haraka. Maana wengi wetu hujikuta kutokuwa wawazi hasa ikitokea umekinai...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kusema kweli mimi nina aibu sana, pia huwa sipendi kumwambia mtu jambo litakalomuumiza kihisia.Kuna binti mmoja nimeanza nae mahusiano hivi karibuni,mwezi wa pili ndio tulikutana nae kimwili. Sio...
8 Reactions
152 Replies
26K Views
Jumapili njema raia. Sasa bana, neno la leo ni kuhusu miadi ya makutano ya watu wawili walio na raghba ya kuja kuweza kuwa wenza hapo baadaye. Mkaka na mdada wanawasiliana kwenye simu. Wanapanga...
12 Reactions
82 Replies
8K Views
Mimi nina mke na tuna zaidi ya miaka nane sasa,ila nimelazimika kuleta matatizo yangu hapa ili nipatiwe msaada. Mimi ninamridhisha kwa kila hali na ninampa mapenzi yote ya kitandani na ya kawaida...
4 Reactions
75 Replies
12K Views
Msichana wangu, ameenda kusururisha kesi hapa. Rafik ake alikua anaishi kwa mama ake mdogo, pale alinyanyaswa hakuna range hapana. Jamaa kumwona kampenda akamwambia atafute chumba. Dem kudalay...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Mchanawa leo na usiku wakenitakuwa jijini Mwanza.Naomba wenyeji mnijuze sehemu ya kupumzika na pengine kupata rafiki!
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua Ndoa inaenda mbali zaidi! Kuna Ndoa na kuna Harusi...Wengi mnapenda zaidi harusi...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ndugu wanaJF. Mimi ni mvulana wa miaka 23 ifikapo desemba mwaka huu natimiza. Kisa:Kuna msichana nlimpenda sana sana hapo awali ikumbukwe kua kazi YANGU ni Milling tukiwa Wavulana 2 mim NA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kabla ya kutuma sms muwe mnahakiki kama unae mtumia ni mtu sahihi. hebu cheki huyu mama alivyo umbuka. je angekua ni mkeo ungefanyaje? BINAFSI NISINGEKUA NA MJADALA NI TALAKA TU ASUBUHI ASUBUHI.
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Mimi nina tatizo na mama mkwe wangu kwa kifupi nimeishi na mtoto wake kwa miaka 15, sasa na tumepata watoto wawili lakini jambo la kushangaza ametoa kauli nzito kwangu akisema kuwa...
0 Reactions
80 Replies
12K Views
Naombeni mzi pokee salam zangu, Enyi wanawake wa zuri wa Dar hamjambo? kwa rehema za mungu wetu mkuu bilasha hamjambo. Leo naliona nibora kuwa andikia uzi wenu pekeyenu enyi mabinti wa dar...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
salama jamen? Husika na kichwa cha barua hapo juu.Mimi ni Mwl wa shule msingi,tatizo linalokuja ni kwamba sitaki kabisa hata kusikia suala la kuolewa na mwl. Eti nahisi hatuwez fikia mafanikio...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari zenu wana jf Kuna rafiki yangu ameolewa katika familia kabila ni tofauti na lake.. Sasa linapokuja swala la vikao ukweni hata wakwe wakija nyumbani kwake ni kilugha kinacharazwa...
1 Reactions
81 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…