Wanawake mkoje nyie?

Wanawake mkoje nyie?

chingyeddy

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
339
Reaction score
138
Msichana wangu, ameenda kusururisha kesi hapa.
Rafik ake alikua anaishi kwa mama ake mdogo, pale alinyanyaswa hakuna range hapana. Jamaa kumwona kampenda akamwambia atafute chumba.
Dem kudalay jamaa akatafuta chumba, akalipia mwaka, akamjazia kila kitu. Na akamwekea bill Dukan flan achukue kila anachotaka. Majuzi dem kalala na mtu wake wa zaman, Kisha akapigia mpenz wake mpya Anaanza kumtukana akampa simu mtu wake wa zaman nae kumtukana sana jamaa.
Jamaa kakata mawasiliano akamwambia aendelee na X wake, ambae ni free boti. Sasa anadaiwa kodi ya nyumba, ndo anaomba aombewe msamaha kwa bwana ake mpya, ili amlipie kodi.
Nimemwambia amwambie X wake alipe
 
Mwana pasua kichwa sana hawa Watu. Na nimempiga biti dem wangu kujifanya askofu
 
We ndo unajiita Sir? Mavi
Ntolee mimba yako
 
Sikuwahi kujua kama kuna wasichana wanalikubali hili jina la "DEMU"
Dame ni bonge la cheo wewe, tatizo wabongo hua hatufatilii
ImageUploadedByJamiiForums1461465427.771218.jpg
 
Mm sikusikii, tulitakiwa kuisulululisha mm na bibie wangu aieee
 
Back
Top Bottom