Mpenz Wangu Mba Zinamuharibu usoni

Eleza kidogo magonjwa ya ngozi yako ya aina nyingi mkuu
 
Wewe ndo umemuambukiza umemharibu, sasa gharamia matibabu yake na sio kumgegeda tuu bure mtoto wa watu
Sawa mkuu nimekuelewa nitagharamia usijar....ila hatujawahi gegedana ni mwari kwahiyo mpaka tutakapofunga ndoa.
 
Sawa mkuu nimekuelewa nitagharamia usijar....ila hatujawahi gegedana ni mwari kwahiyo mpaka tutakapofunga ndoa.
Aaaah!! Ok nimekumbuka dawa yake. sasa fanya kitu kimoja hebu nitumie namba zake then nimuelekeze hiyo dawa how to use it
 
Kijana, mpake mkojo wa morning ule. Ukiweza utunze 4 days afu mpke.....

AU

Mafuta ya break
 
Eneo mlilopo hakuna kituo chochote cha afya karibu? Kwanini matatizo yanayohitaji utaalamu kushughulikiwa tunayaacha tu kiholela? Kwanini unadhani ni mba tu badala ya kufanya vipimo na kujua kiini hasa cha tatizo? Ikiwa ana maambukizi kwenye damu ama damu kuchafuka haiwezi kuwa tatizo? Muone mtaalamu wa afya please, huu ndiyo ushauri wa maana Zaidi!
 
Back
Top Bottom