Wapi nipumzike Mwanza!

Wapi nipumzike Mwanza!

Malaika beach, una usafiri? Nina gari iko idle tunaweza kuongea mkuu
 
Mchanawa leo na usiku wakenitakuwa jijini Mwanza.Naomba wenyeji mnijuze sehemu ya kupumzika na pengine kupata rafiki!
Sehemu ziko nyingi kutegemea na kipato chako, ungetaja uwezo wako kwanZa, karibu mwanza
 
Back
Top Bottom