pauli jm
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 391
- 278
Naombeni mzi pokee salam zangu, Enyi wanawake wa zuri wa Dar hamjambo? kwa rehema za mungu wetu mkuu bilasha hamjambo.
Leo naliona nibora kuwa andikia uzi wenu pekeyenu enyi mabinti wa dar salam.
Ninaomba ushirikiano wenu katika uzi huu maalumu kwa ajili yenu, nina omba mnijibu maswali nitakayo wauliza enyi wanawake wa dar salam.
Kwa muda mrefu kila nikipitapita, humu jukwaani huwa nina kutana shutuma kedekede zikiwaelekea mabwana zenu wa dar salam. Naliona nibora kuwauliza ninyi juu ya shutuma hizi wanazo shutumiwa mabwana zenu kwani. Wao mabwana zenu huzi kanusha , lakini sina imani na majibu ya waume zenu nandio maana nawaulizeni ninyi, kwani ninatambua hakuna m'baya awezaye kusema mimi ni mbaya ila waushuhudiao ubaya wa mbayahuyo ndio watasema yule ni m'baya.
Kama tuhuma hizi wanazo shutumiwa nazo mabwana zenu niza kweli basi nina amini ukweli nita upata kutoka kwenu ninyi mnao lala nao.
TUHUMA zenyewe ndio hizi.
1.Eti mabwana zenu , katika safari zile zavilimani hawana uwezo kabisa waku wafikisha kwenye vilele vya milima yenu #jee nikweli??.
2.Eti waume zenu nimabigwa wakutumia mafuta yenu ya kujipaka # jee nikweli??.
3.Eti mabwana zenu walikimbizwa na wale watoto kutoka mikoani waitwao panya barabara # jee nikweli??.
4.Eti mabwana zenu hufaa nguo zenu hasa suruali zenu #jee ni kweli??
5.Eti mabwana zenu kwa asilimia 30% ni mabwabwa # jee nikweli??.
6.Uwezo wa mabwana zenu katika mapenzi upo vizuri au longolo # jee nikweli??.
Tuhuma ni nyingi mno lakini kwaleo tuishie hapo.
Lamda kuna mtu ana weza kujiuliza nikwanini ninataka kujua: jibu ni kama nikweli hayo hapo juu niya kweli basi nitatizo. Nakama nitatizo linapaswa kupewa utatuzi / ufumbuzi.
Kama nikweli nina mipango yakuli suluhisha tatizo hilo
1.Nina mpango wa mda mfupi.
2.Nina mpango wa muda mrefu.
1.Mpango wa muda mfupi wakulitatua tatizo hilo (kamalipo) nikuanzisha App yaku waunganisha vidume virijali vya mikoani na wanawake wapweke wa dar salam.
2.Mpango wamuda mrefu wakulitatua tatizo hilo (kamalipo) nikuwapa wanaume wa dar, Elimu ya matunzi bora ya afya zao zauzazi, kwamfano wale nini , wafae nini (maana ninasikia wana faanguo zenu) wafanye mazoezi gani (hapa huwa ninasikia mazoezi yao niyaku jenga umbo lamwili na sio afya ya mwili) wale nini (huwa nina sikia kidume kizima kina kula chips na miji kuku ya kisasa kipaja kimoja tu)
Walale saangapi na kwamuda gani (huwa nina sikia wakijiita mapopo, na lengola ku niku kimbia nyumbani nakwenda kwenye vilabu vya pombe eti ili kuwakwepa akwezao wasi dai mechi).
KAMA haya niya uwongo ina bidi wanaume wa mikoani tuwaombe radhi wanaume wenzetu wa dar.
Wanawake wa dar kumbukeni mficha maradhi kifo humu umbua. Semeni ukweli kama wenzenu wakule ROMBO. Napia mficha uchi hazai.
Ili kusudi tuwatafutie uvumbuzi wa tatizo hatuwezi kulivumbua tatizo tusilo lijua, ni ninyi ndio huwa mna lala na,hawa mabwana, kwahiyo nyinyi mna wajua sana.
KAZI KWENU KUSEMA MPATE MSAADA AU KUFICHA MPATE HASARA.