adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Habari ya j3
huwa najiuliza kwa haraka.
Kati ya mke/mume au wapenzi wa jinsia tofauti yupi huanza kumkinai mwenzi wake kwa haraka.
Maana wengi wetu hujikuta kutokuwa wawazi hasa ikitokea umekinai mapenzi ya mke/mme na kupelekea kutokuelewana na michepuko ili kukidhi matamanio.
imefikia baadhi ya ndoa mtu ili aweze kupata stimu ya kugegedana lazma apige bia au amarula ili kutoa nishai maana hivihivi ni kama kupigia mbuzi kinanda.