Kama huyu ndio mkeo utachukua hatua gani?

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,471
12,373
Kabla ya kutuma sms muwe mnahakiki kama unae mtumia ni mtu sahihi.

hebu cheki huyu mama alivyo umbuka.
je angekua ni mkeo ungefanyaje?

BINAFSI NISINGEKUA NA MJADALA NI TALAKA TU ASUBUHI ASUBUHI.
2016-04-24_17.27.32.jpg
 
Mi nimemtumia mke wangu jana, ila hakuelewa kitu, duuh mpaka sasa siamini, maana sms ilikuwa na tafsida
 
Mbona kama sms za group, kwan sms hizo ni from more than one number, hii ni kanyanga aisee
 
Kama mkeo ni mwalimu, namba yake inaanzia na code 0716, halafu last six digits zinaanza na 7...., huwa anenda job half-day siku za jumamosi, basi unganisha dots. Haya ni manyoya yanapepea.
Mkuu utawaua kwa presha wenye wake zao walimu...

Yawezekana huyu ni mke wa mtu anayesomea ujasiriamali sehemu flani..... hajasema sehemu huku shuleni anaenda kufundisha au kusoma

Hahahahaa hatari sana hii... ngoja tupeane moyo tu
 
Mkuu utawaua kwa presha wenye wake zao walimu...

Yawezekana huyu ni mke wa mtu anayesomea ujasiriamali sehemu flani..... hajasema sehemu huku shuleni anaenda kufundisha au kusoma

Hahahahaa hatari sana hii... ngoja tupeane moyo tu
Hah ha ha...mie nlikuwa najaribu tu kufix scattered pieces. I have gone with the most likely possibility. Certainly, there could be several alternative intepretations, but message kuu ni Mrs (wa mtu) kaomba KULIWA asubuhi ...looh
 
Alafu ndo mnaniambia niingie kwenye ndoa???Mungu nitie nguvu....Kaka mkubwa pole...sim ya mkeo usiguse
 
mkuu unatumia app gani ku edit hapo juu ya screenshot namba ulizozifura?
ingia play store andika photo editor..then ukisha download ifungue weka picha then chini utaona option kibao we chagua draw ina kialama cha karamu.
 
Back
Top Bottom