adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Ndugu zangu mabibi na mabwana napenda kuwakaribisha katika bachela pati mitaa ya Njiro Arusha.
Nyote mnakaribishwa bila kukosa ila kama una mke acha nyumbani njoo mwenyewe na kama una mume muache alinde nyumba njoo tujumuike pamoja.
Wale masingo hii pati ndo yenu kuja kwenu ndo kukamilisha pati hii murua. Pasipo kusahau njoo na vinywaji vyako ila nyama choma na vegetables zitakuwepo.
Nyote mnakaribishwa.