Je ungelikua wewe ungefanyaje?Ushauri tafadhali

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Habari ndugu wanaJF.
Mimi ni mvulana wa miaka 23 ifikapo desemba mwaka huu natimiza.
Kisa:Kuna msichana nlimpenda sana sana hapo awali ikumbukwe kua kazi YANGU ni Milling tukiwa Wavulana 2 mim NA mwenzangu tunasaidiana NA Houseboy wetu kwa hii kazi.
Sasa yle msichana nilmtongoza NA MTU Wa kwanza kumwambia ni yule mwenzangu Si mnajua WATU ambao mnafanya kazi 1 lazma mshirikishane kwa kila ki2.
Sikujua kwamba mwenzangu ananisaliti kwa yule msichana NA kuanza kumtongoza bila mm kujua.
Kumbuka sote ni wamoja,nyumba 1,ktanda 1,Kazi 1 Hadi msichana 1.
Baada ya kjua mwenzangu anamchukua yle binti kwa kweli nlichoka sana NA ukizingatia binti nampenda mpaka kesho kusema kweli nampenda sana sana.
Hua nikimwita anakuja NA akimwita mwenzangu anaenda kakn wote tinajuan kwamba tushea binti 1.
Kwa sasa binti kanipotezea NA kuniambia nisimpigie simu wala kutuma SMS NA bado nampenda japokua mwenzangu anamchukua.
Je nifenyeje NA binti nampenda kwa thatiii??
Ushauri.
 
Mapenzi hayalazimishwi kama kakwambia wanini wewe muone wa kazi gani,bado mdogo sana rudi shule ukumaliza kusoma atakua keshakongoroka na wewe unapeta na dogo dogo na akikupa hata bure ringa manake hapo yako itakua na TBS yake
itakua ishachakaaa..lol..........
 
Ningepiga chini na kutafuta mwingine maana hakuna namna tatizo ulisubiri akutamkie,wenzio tukiona dalili tu mbiooooooooooooo......!!!!!!!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom