Mke wangu wa NDOA ananilazimisha nitoke nje ya Ndoa

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,266
Mimi nina mke na tuna zaidi ya miaka nane sasa,ila nimelazimika kuleta matatizo yangu hapa ili nipatiwe msaada.
Mimi ninamridhisha kwa kila hali na ninampa mapenzi yote ya kitandani na ya kawaida .na nimetii mashariti yake yote ikiwa kuacha kunywa pombe,kuwa na marafiki na muda woote wa kwenda na kurudi kazini ninakuwa naye na kazi tunafanya sehemu moja.
Sasa hivi hataki kufanya mapenzi na mimi na kila nikimgusa amechoka mara tumbo linauma mara kama ni jioni atasema tufanye asbh,na hapa nilipo yapata mwezi sasa na ninanenge mbaya!sasa wakuu nikitafuta nyumba ndogo nitakuwa nakosea?
 
Mhhhh! Kweli ndoa ni kizungumkuti!!!! Miaka nane tu kishachoka hoi bin taabani!!! Pole sana Mkuu. Jaribu kuwaita wazazi kama bado wako hai au wakubwa zenu wa pande zote mbili wajaribu kukusaidia ili mkeo akupe haki yako kama mume.
 
Uchicheme mambo ya nkeo kwenye ntandao! Hukufunzwa jando? Kama maneneo yako ni kweli kunridhisha asingefanya usemacho. Tafuta nkao nzuri ongea naye kwa upole chumbani kwenu tena kitandani. bembeleza nkeo au sivyo watakubembelezea/ Huko nje kuna nge na chimba wala watu. Uchichukue maamuzi makubwa kwa haraka. You need a profound counselling my dear. Ndoa sio kitandani tu, ina mapana na kina na ni lazima uelewe nini nkeo anataka. Kuna kitu umemkwaza na hakuna atakayekuondolea ila nkeo tu maana atakuambia ni kintu gani. Uchimpeleke kwa wazazi wake wala wako. Wewe tu. Kitanda cha wanandoa kina majibu mengi ya matatizo ya ndoa. Kuchele kucheleeee!
 
Jana nilienda nikamnunulia nguo nzuri dukani kwa kujua nitamfurahisha alivyoikandia,akaniamba si ungewanunulia watoto nguo sasa nifanyeje? Ningejua nisingeoa tu
 
chi unajua tena njomba sio wote wamealuka basi ndo tumsaidie bwana wewe!ana kuanza kunchema hivo ajione amenyata amah!
 
lipo analolitafuta huyo!na wala halina muda litatokea tu!
 
...Duh! Mwenyewe umepita madukani na kuona nguo nzuri. Ukaamua kumnunulia mkeo kwa dhana kwamba atafurahia na hivyo kukupa mchezo badala yake anakukandiya!!!! Pole sana...labda anataka UMUANGUSE.

Jana nilienda nikamnunulia nguo nzuri dukani kwa kujua nitamfurahisha alivyoikandia,akaniamba si ungewanunulia watoto nguo sasa nifanyeje? Ningejua nisingeoa tu
 
Usijute kihasi hiki kabla haujafanya maaamuzi yeyote jaribu kufanya uchunguzi.

Jana nilienda nikamnunulia nguo nzuri dukani kwa kujua nitamfurahisha alivyoikandia,akaniamba si ungewanunulia watoto nguo sasa nifanyeje? Ningejua nisingeoa tu
 
Bhaaaaaaaa! Kwani ntu kuomba ushauri amefanya makocha?

Uchicheme mambo ya nkeo kwenye ntandao! Hukufunzwa jando? Kama maneneo yako ni kweli kunridhisha asingefanya usemacho. Tafuta nkao nzuri ongea naye kwa upole chumbani kwenu tena kitandani. bembeleza nkeo au sivyo watakubembelezea/ Huko nje kuna nge na chimba wala watu. Uchichukue maamuzi makubwa kwa haraka. You need a profound counselling my dear. Ndoa sio kitandani tu, ina mapana na kina na ni lazima uelewe nini nkeo anataka. Kuna kitu umemkwaza na hakuna atakayekuondolea ila nkeo tu maana atakuambia ni kintu gani. Uchimpeleke kwa wazazi wake wala wako. Wewe tu. Kitanda cha wanandoa kina majibu mengi ya matatizo ya ndoa. Kuchele kucheleeee!
 
Hapa unanikumbusha ile joke ya paka na mbwa.

Mbwa alimuliza paka, mbona we ukitaka kufanya sex lazima ujifiche una siri gani?

Paka akamjibu mbwa, we unadhani mimi jinga lolo kama wewe, unataka bina-adamu wa copy style yangu kama wewe :biggrin1:

Somo la leo; Siri ya ndani usipeleke nje.
 
hivi huu upuuzi wa watu kunyimana haki za ndoa unatusaidia nini jamani?mwanamke au mwanaume unapomnyima mwenzio sakramenti nia yako akale polisi?ni kitu gani cha kutisha kinaweza kutokea kwa watu mloishi miaka karibu kumi sijui kitokee kati yenu kiasi mshindwe kuzungumza,mwanamke.mwanaume anayekimbilia kutumia maumbile yake kama silaha ya kumkomoa mwezie hajui maana ya ndoa!kama mwenzio amekuudhi si mnazungumza?tell her/him wapi kuna tatizo,mwambie anafanya kitu gani ambacho kinakukwaza!haya mambo ya kuanza kupelekana kwa wazazi eti unakataa kulisha mume ni mamabo ya aibu jamani!
kaka angu hebu kaa chini na mkeo muulize ana shida gani!pengine mazingira mliyopo hayampia nafasi ya kujiachia sio wote watoto wa njiwa kama wengine hapa hata juu ya jiwe tunapiga mzigo mradi kitu kimeitika tu na tupo na tuwapendao,
ANDAA SAFARI ikiwezekana iwe nje ya mkoa!mtayarishie vijiguo sexy ana we jiandalie hivo hivo mwambie mke wangu tubadilishe viwanja !huko hebu jaribuni kusahau na uanze yale malovee ya enzi zile kwa kuanzia,then tuone nini kitajiri!
 
chi unajua tena njomba sio wote wamealuka basi ndo tumsaidie bwana wewe!ana kuanza kunchema hivo ajione amenyata amah!
Bwana wewe Bhaaaa! Chule kwa njia mbalimbali. Kina mama wanafundicha chana ukiwachikilija vijuli. Mi ndo kumaanisha ati! Nyumba zinaficha mengi bwana wewe! Uchione chuluwali, kufunika mijigo mingi! Nzigo huo, mwananke tu kuteremsha aweza!
 
ana mwananke mi kunimaanisha mimi huyo baaasi tu chijui anafananaje,uchikute kunyaaata huyo kama ming'ooko isiyoiva bwana weweee !
 
Mimi nina mke na tuna zaidi ya miaka nane sasa,ila nimelazimika kuleta matatizo yangu hapa ili nipatiwe msaada.
Mimi ninamridhisha kwa kila hali na ninampa mapenzi yote ya kitandani na ya kawaida .na nimetii mashariti yake yote ikiwa kuacha kunywa pombe,kuwa na marafiki na muda woote wa kwenda na kurudi kazini ninakuwa naye na kazi tunafanya sehemu moja.
Sasa hivi hataki kufanya mapenzi na mimi na kila nikimgusa amechoka mara tumbo linauma mara kama ni jioni atasema tufanye asbh,na hapa nilipo yapata mwezi sasa na ninanenge mbaya!sasa wakuu nikitafuta nyumba ndogo nitakuwa nakosea?

Pole sana ndugu yangu. Nakupongeza kwa kufunguka na kuomba ushauri hiyo inaweza kukupunguzia mawazo. Matatizo haya watu wengi tunayo lakini huwa tunaugulia moyoni na kusababisha utendaji mbaya katika kazi na magonjwa.

Sikushauri utafute nyumba ndogo kama unavyosema, kwani ni mapema mno na kumbuka nje kumechafuka. As long as you belong to her, talk to her she is yours and not somebody's. Ama kweli ndoa, ndoana.
 
Hivi ni shetani gani ameingilia hizi ndoa siku hizi?Mkuu mwezi mzima anakupa visingizio???Chunguza lazima kuna mtu mnasaidiana
 
Back
Top Bottom