Habarini wanajamvi...Mi nina umri wa miaka 40...nilizaa na mdada then tukaachana ka miaka minne...ananiomba mara nyingi sana turudiane...sasa naingiwa sana na huruma ya kutaka kumrudia ila kusema ukweli kutokea moyoni simpendi...na hata ndugu hawamtaki tena...kutokana na aliyoyafanya tukaaachana....na wala siwezi funga nae ndoa...mnanishaurije?