Wakuu asalam aleykum Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Ni muda mrefu hawa watoto wa kinyarwanda wamekua wakichanganya mtima wangu. Yaan nikiwaona roho yangu inakufa ganzi kabsa.., naomba Kama wapo humu wani pm. Awe mrefu, age: 20-25, elimu level yoyote sichagui, mimi Ni mchaga. Age 29, elimu: masters, Niko serious Naweza kuoa kabsa.