naisha nasri
Member
- Apr 25, 2016
- 67
- 64
Mimi ni ngeni humu ila situation forced me get in,naomba msaada wa mawazo! Nina mchumba japokua sijatambulishwa kwao lakin nampenda sana mpaka inafika situation najinyima.
Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanikiwa kupata mdada mrembo mwenye miaka 24 na mimi am in early thirties,km wote mnavyjua mkikutana na m2 lazma mpige stori za familia unakotoka na mimi huyu dada aliniambia babaake mzazi alimtelekeza na kalelewa na baba wa kambo ambaye alimpenda sana bahati mbaya akafariki na kuniambia maisha yake na mamaye kwa sasa sio mazuri kama ilivyokua hp awali nakuniambia yeye anadiploma in accountancy.
Baada ya kumsikiliza yote nikamuahidi kuwa naye maisha yote.nimegundua km huyu dada atakua km wale wa dar coz leo atakuja na gear yakusema mama anaumwa sana anahitaji pesa utampa,baada week atasema na yeye anamatumizi utampa.
Nimejaribu kumuomba mzigo hayupo tayari na kuniblock kwenye whatapp nakusema nisimpigie simu na hana mda wa kuwa na mimi hata weekendi ikifika.Naomba ushauriwenu coz naona nimegeuzwa