Habari zenu ndugu zangu..nahitaji mtu wa kushauriana ktk masuala ya kutafuta maendeleo iwe biashara ..kilimo au utoaji huduma halali ambayo itatuingizia kipato..mm niko kny age of 40s..ni mtumishi ktk sector binafsi lkn napenda kufanya miradi mbalimbali ya kimaendeleo..kuna kipindi nilifanya biashara nikapata hasara na sasa nimeanza tena..kwa wenye interest please karibuni