EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,098
Huu ni muda ambao natamani nikirudi nyumbani nipokelewe na mtu wangu wa halali, aniambie pole na kazi, karibu nyumbani, chakula kitakuwa tayari soon. Yaani natamani kuwa na mtu ninayemuita mke wangu naye ananiita mume wangu. But i am totally confused,
- Should i choose a girl or a woman? (Siku hizi ni vigumu sana kuwatofautisha)
- Je atakuwa mke au ataendelea kuwa girlfriend hata baada ya kuolewa?
- Ataniheshimu kama mume au nitakuwa nikitoka ananing'ong'a?
- Atanifanya kuwa exclusive au atanifanya kuwa part of the list?
- Will i love her continuously au baada ya mwezi mmoja ntaona hanivutii?
- Atanifanya nipende kuwa nyumbani au atanifanya nipaone nyumbani kituo cha polisi?
- Atakuwa tayari kujenga familia yetu (mimi na yeye) au atajenga ya kwao?
- Atawafukuza ndugu zangu na kuwaleta wa kwao au wote watakuwa sawa kwake?
- Atakuwa liwazo langu au ndio atakuwa a pain in the ass?
- Tukikoseana tutaombana radhi au ndio itakuwa matangazo kwa mashoga na marafiki?