Ndiyo maana Mungu si athumani .... Mana angekuwa athumani hili ulilosema lingewezekana ila cha ajabu wanaolewa kama kawa ......na watoto wanatunza kama damu yake.....
Acha Mungu aitwe Mungu na wewe binadamu ubakie na ubinadamu wako wa kuwanyoshea vidole single mama......
Ndiyo uone jinsi alivyoegemea upande mmoja na kudhani shida iko kwa wanawake tuTatizo ajawazungumzia akina sie "me" tulio na watoto, wasichana watapata madhara gani wakiolewa nao.
Ndiyo uone jinsi alivyoegemea upande mmoja na kudhani shida iko kwa wanawake tu
Mwalimu naomba nikuulize na wanaume waliozaa je kwa upande wao ni sawa hau?kuna wanaume waliozaa hovyo baby mamas kibao na wao wasipewe chansi au