Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,983
- 5,051
Kulingana na sensa iliyopita, mko wanawake milioni moja zaidi ya wanaume.
Kuna wanaume wengine ni mashoga.
kuwa na mwanaume wa kwako peke yako ni kitu kilichoshindikana.
tunadanganyana tu mchana lakini yanayoendelea gizani tunayajua.
hizi mila zilizoletwa na wazungu waafrika zimetushinda.
ndio maana hukawii kuona mwanaume anadai ana ndoa ya mke mmoja lakini kazaa na wanawake wengine watatu, sasa huyo si ana wake wanne??
na mwanamke mwingine kazaa na mume wa mtu aaafu anajitapa kutaka mume wake peke yake!! kweli!! we kubali tu kuwa mke mdogo maisha yaendelee.
mtaendelea kusubiri wanaume wa peke yenu huku mkiongeza idadi ya watoto tu.
samahani kama nimewakwaza, ila hiyo ndio hali halisi