Wapenzi wakutanao club

boobookitty

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
255
173
Heeeeeeeeeeeey sweethearts! Watsup!!

Leo naandika kitu kuhusiana na wanaume wanaokutana na wanawake kwenye maclub, asilimia kubwa wengi wanafikiri wanajiuza na kama sikujiuza they think these girls are kinda nasty in bed of which is not true, club ni sehemu ya kuenjoy na ni aina ya hobby ya mtu apendaye kucheza mziki!! Speaking from experience sijawahi kuona mahusiano ya watu wawili kukutana club na yakadumu!! Me nliwahi kutoka kimapenzi na mwanaume tuliyekutana club lakini yaliishia hapo hapo club kwasababu tulikua tunadanganyana either tumelala at the end of the day tunakutana batani!! Na guys wengi wa aina hii wapenda club hawana mwanamke mmoja.
 
Ngoja kwanza kwa hiyo appointment sehemu nyingine hapana ila club ok sawa mtadumu/mngedumu kama ndoa yenu mngefungia huko huko club pale juu stagine.
 
Back
Top Bottom