Kuachika na kuachana

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,098
Bwana Yesu asifiwe

Watu wengi siku izi wanaogopa kuoana kwa kuhofia kuja kuachana, ikiwa hawajui km NDOA ni ulimwengu Wa FURAHA.

Kuachana in kitendo mke na mume kufikia hatua kukubali kuvunja mapatano ya kuendelea kuwa mke na mume.
LAKINI KIBIBLIA KTK KITABU CHA MALAKI 3:16 MUNGU ANAKATAA KUACHANA na HAKUNA KUACHANA.

KUACHIKA
Imezoeleka eti kusema mama Fulani kaachika, lkn sio kusema baba Fulani kaachika.
Kuachika ni kitendo cha mwanandoa mmoja kuamua kujiondoa kwny mahusiano au kwa mmojawapo kumkataa mwenzake.

NINAWAOMBEA VIJANA NA MABINTI WOTE WANAOHTJ KUONDOA KWA JINA LA YESU KRISTO, NINAHARIBU IYO roho ya hofu kuogopa kuingia kwny NDOA kwa Dmu ya YESU.

Na wale waliopo kwenye mahusino muda mrefu, sasa ninaachilia Neema ya kuoana kwa jiina la Yesu Kristo. Ninakuunganisha na mume wako alyekusudiwa, ninakuunganisha na mke wako aliyekusudiwa kwa mamlaka ya jina la Yesu Kristo.

Na kwa wale wanaopitia changamoto kwenye ndoa, ninaikemea iyo roho ya mafarakano, magomvi, chuki, kwa jina la Yesu Kristo, ninawapatanisha upya kwa Damu ya Yesu.

KAMA UMEGUSWA NA MAOMBI HAYO, TYPE AMEN

Kama unahitaji maombi zaidi wasiliana nami kwa: 0786100772, au 0757856336 au 0673100772
 
Jf kiboko ina mpaka wachungaji, hivi hakuna sehemu ya watumishi maana hili jukwaa wakati mwingi yanazungumzwa mambo ambayo yaweza kumkwanza mchungaji
 
Bwana Yesu asifiwe

Watu wengi siku izi wanaogopa kuoana kwa kuhofia kuja kuachana, ikiwa hawajui km NDOA ni ulimwengu Wa FURAHA.

Kuachana in kitendo mke na mume kufikia hatua kukubali kuvunja mapatano ya kuendelea kuwa mke na mume.
LAKINI KIBIBLIA KTK KITABU CHA MALAKI 3:16 MUNGU ANAKATAA KUACHANA na HAKUNA KUACHANA.

KUACHIKA
Imezoeleka eti kusema mama Fulani kaachika, lkn sio kusema baba Fulani kaachika.
Kuachika ni kitendo cha mwanandoa mmoja kuamua kujiondoa kwny mahusiano au kwa mmojawapo kumkataa mwenzake.

NINAWAOMBEA VIJANA NA MABINTI WOTE WANAOHTJ KUONDOA KWA JINA LA YESU KRISTO, NINAHARIBU IYO roho ya hofu kuogopa kuingia kwny NDOA kwa Dmu ya YESU.
----NA wale waliopo kwny mahusino muda mrefu, sasa ninaachilia Neema ya kuoana kwa Jina LA Yesu Kristo. Ninakuunganisha na mume wako alyekusudiwa, ninakuunganisha na mke wako aliyekusudiwa kwa Mamlaka ya Jina LA Yesu Kristo.

Na kwa wale wanaopitia changamoto kwny NDOA, Ninaikemea iyo roho ya mafarakano,magomvi,chuki,kwa Jina LA Yesu Kristo, ninawapatanisha upya kwa Damu ya Yesu.

KAMA UMEGUSWA NA MAOMBI HAYO, TYPE AMEN

KAMA UNAHTJ maombi zaidi wasiliana nami kwa: 0786100772, au 0757856336 au 0673100772
Aiseee bussnes is marketing!
 
malize kesi iliyopo mezani kwako mchungaji.. Mimi nadhani imenishinda na imenifanya nigundue kuwa kumbe kuna malaika wanaogeuka shetani.
Mmmh...@ibra87 unajua mambo mengi it seems, #trying-to-connect-dots kiongozi.
 
Back
Top Bottom